Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
Popote tu...
Habari za weekend
wandugu wote, tumshukuru mwenyezi kwa kutujaalia uzima na kutupa pumzi
hadi kufikia leo, na napenda kuwapa pole wagonjwa wote waliopo
maospitalini na majumbani, tusichoke kumuomba mwenyezi mungu atujalie
afya njema.
(topic)
Mabibi na Mabwana leo hii nimekuja apa barazani na maswali kidogo ambayo
mara nyingi huwa najiuliza na kukosa majibu sahihi, Ivi ni wapi unaweza
kukutana na mpezi wa kweli kati ya sehumu izi apa?
(1) ni yule uliokutana nae mtaa mmoja au jirani!
(2) ni yule uliokutana nae shuleni au chuoni!
(3) ni yule uliokutana nae kwenye matatizo!
(4) ni yule uliokutana nae kwenye raha au starehe!
(5) ni yule uliokutana nae safarini!
(6) ni yule uliotafutiwa na wazazi!
(7) ni yule muliokutana nae kwenye facebook! au alikosea namba
(8) ni yule mulikutana nae kwenye ibada -kanisani au kwenye shuhuli!
(9) ni yule mjane alioachwa na jirani yako!
(10) au ni yule muliokutana nae ofisi moja
Naombeni majibu ya maswali aya 10 na mwenye kuweza kudadavua au kutoa
ushuhuda. uwanja ni huu