Aliye vaa black anapokea
Aaah wapi umekoseaAliye vaa black anapokea
Husemi hata km nimepatiaAaah wapi umekosea
Hapo ni ktk mechi sio mazoezi kwahiyo ni ngumu mchezaji kumrushia kocha mpira, lakni ni rahisi kocha kumrushia mpira mchezaji iwapo mpira umetoka nje ya uwanja kwa ajili ya kuurushaHusemi hata km nimepatia
Hapo ni ktk mechi sio mazoezi kwahiyo ni ngumu mchezaji kumrushia kocha mpira, lakni ni rahisi kocha kumrushia mpira mchezaji iwapo mpira umetoka nje ya uwanja kwa ajili ya kuurusha
Unazungumzia kitu ambacho ni nadra kutokeana itakuwa vp kama mipira ilirudishwa miwili uwanjani na huo mmoja unarudishwa nje