Nyetk
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,648
- 1,701
[h=5][/h][h=5] WADAU KATI YA HAWA YUPI ANAJUA KUUCHUNA?
Juha, Zoba na Zuzu walikuwa wakibishana nani anaweza kuuchuna kuliko mwenzake, ilikuwa hivi;
JUHA: Nilimpigia simu mke wangu akasema halooo! Mie nikauchuna sikuongea mpaka fedha yote ikaisha.
ZOBA: Niligonga mlango, Mke wangu akafungua hakuniambia karibu, sikuingia nikasimama mlangoni mpaka kesho yake, nikageuza zangu kurudi kazini.
ZUZU: Tangu nimuoe Mke wangu hajawahi kuniita mpenzi, nimegoma kulala nae huu ni mwaka wa sita, na mke wangu ana watoto wawili. Lakini mpaka leo sijamuuliza watoto wote ni wa nani? Nimeuchuna tu. Je, kati ya wote nani anajua kuuchuna?
[/h]