Yule Yesu feki hajafa anadunda tu na kula bata.

Huyo mzungu wala hafanini hata chembe na Yesu labda kama anafanana na muigizaji wa filamu ya Yesu.
 
Muafrika in MTU mjinga kuwahi kuumbwa duniani.Yesu original yupo wapi? Picha yake ipo wapi? Acheni upumbafu na habari za uongo.Fanyeni kazi muacheni yesu apige dili msizibiane riziki.
 
serikali ya kenya na vyombo vya habari vya kenya wana uzalendo mkubwa sana linapokuja swala la nchi yao na watu wake ,Wote huungana na kuwa kitu kimoja,Kuna kisa kilitokea siku za hivi karibuni kenya kuna mzungu mmarekani akiitembelea kenya akijiita yeye ndie Yesu,Vyombo vyote vya habari vya kenya vilimshambulia yule nzungu kuwa ni tapeli wa kutupwa na mwongo kwa kujiita Yesu,Na serikali ikamfukuza nchini na kuwakamata wachungaji waliomleta kenya,Waandishi wa habari na serikali walikuwa kitu kimoja

Wakati huo huo kenya wana mtu anajiita Yesu ambaye ni mkenya vyombo vya habari havijawahi mwandika vibaya wala serikali kumsema vibaya,,

Angalia mzungu wa watu alivyoshambuliwa na media na serikali hapa


Lakini angalia Yesu mkenya anavyopambwa hapa na akiendelea na shughuli zake bila bughudha toka kwa serikali wala waandishi wa habari,


Viongozi wa serikali na waandishi wa habari igeni huo uzalendo kutetea vya watanzania
 
Una uhakika gani kwamba huyo ni yesu feki?
Tatizo huwa hamsomi thread kurupu kichwa cha Habari na kwenda kukoment.Huyo jamaa ni muigizaji Kama Decon aliyeigiza filamu ya maisha ya bwana Yesu lakini huku Africa kwenye kifaduro cha akili ndo tunamuita Yesu,huko Marekani anakoishi ni Kama Gambo zigamba.Kwa ufupi hakuna ushaidi wa Sura ya Yesu na hamna haijuae.Kipindi cha maisha ya bwana Yesu kristo kulikuwa hakuna teknolojia ya mapicha.
 
Back
Top Bottom