Anapaa kwenda wapi? Mi nikajua ndiyo amerudi kuhukumu wema na wabaya!Kishafufuka,tunasubiri apae sasa.
😂😂😂😂Kwanini anaitwa wa bandia? Yule muigizaji wa Uingereza anayefanana naye ndiye halisi?
Haya Haya BA's dada casc tumekuelewa.Huo ni upuuzi na ndio maana tuliambiwa tunaangamia kwa kukosa maarifa.
Kwanza kwa nini aitwe yesu?je ni kwa sababu anafanana na Brian aliyeigiza picha ya yesu? Je yule Brian ndio yesu?
Kwa kusema huyu ni yesu fake means kuna original.
Je Yesu org.ni yupi?
Unapozungumzia kitu fake ina maana kina ufanano wa kiasi kikubwa sana na kitu org. Je ni vigezo gani vimetumika kumfananisha huyu bwana na Yesu org?.
NOTE:Mathew 25:13
Michael Job, mhubiri wa Marekani na muigizaji ambaye hivi majuzi alizuru Kenya na kuitwa 'Yesu bandia' hajafariki kama ilivyoangaziwa na vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania na Kenya
SOURCE: BBC SWAHILI
View attachment 1174759
Infact wazungu wanajua kutumia fursa za ujinga wetu vizuriAmefufuka siku tatu zimepita, sasa tusubiri aje kutoa adhabu
bora umenisaidia kumjibu huyu jamaa, mambo ya dini ukiyachanganya na mihemko unapotoka kabisaTatizo huwa hamsomi thread kurupu kichwa cha Habari na kwenda kukoment.Huyo jamaa ni muigizaji Kama Decon aliyeigiza filamu ya maisha ya bwana Yesu lakini huku Africa kwenye kifaduro cha akili ndo tunamuita Yesu,huko Marekani anakoishi ni Kama Gambo zigamba.Kwa ufupi hakuna ushaidi wa Sura ya Yesu na hamna haijuae.Kipindi cha maisha ya bwana Yesu kristo kulikuwa hakuna teknolojia ya mapicha.
Ndo imeashafija tayariiiiiMkuu siku ya mwisho kila mtu atajibeba mwenyewe. Usishangae bujibuji ukamkuta motoni anachomeka.