Yule mwanamke aliyeongoza mauaji ya westgate auawa

Yule mwanamke aliyeongoza mauaji ya westgate auawa

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
Septemba 21, 2013 ni moja ya siku ambazo zina kumbukumbu nzito ya majonzi kwa watu wa Kenya, kutokana na kupata shambulizi la kigaidi liliposababisha vifo vya watu zaidi ya 60 huku hofu kubwa ikitanda na kupelekea baadhi ya maeneo ambayo huwa na mkusanyiko wa watu wengi Afrika Mashariki ikiwemo Mlimani City Dar kuwekwa ulinzi wa hali ya juu.
Taarifa inayomhusu mtuhumiwa namba 1 wa kesi ya mashambulizi ya jengo la Westgate
Samantha Lewthwaite ni kwamba ameuawa kwa kupigwa risasi.

White-Widdow.jpg

Samantha Lewthwaite


Hii ni wakati wa shambulio la Westgate.
​

Taarifa zinasema mtuhumiwa huyu ambaye alikuwa akifahamika kama “White Widow” ameuawa Ukraine katika mapambano ambapo alikuwa akipambana upande wa kikosi cha wapiganaji wa Aidar.

Samantha amekuwa akituhumiwa kuhusika na matukio kadhaa ya mashambulizi ikiwemo la Westgate Kenya mwaka 2013 japo matukio hayo mengi haikuwahi kuthibitika juu ya ushiriki wake.
CRDT:MILLARDAYO

chanzo.
YULE MWANAMKE ALIYEONGOZA MAUAJI YA WESTGATE AUAWA


 
Authenticity ya chanzo na habari yenyewe ni thaifu mno
 
BBC, CNN, DW, Al Jazeera wala RT hakuna hiyo habari ya kuuawa kwa huyo mwanamke
 
Milard ago ndo source . labda ni chilli source.
 
Back
Top Bottom