Yule msemaji wa Hamas Abu Ubaida IDF wamepita naye

Kumbe wewe ni mjinga kiasi hicho? Hata hujui vita inaendeshwa na wanasiasa hao ndiyo wanasema rusheni makombala Tel Aviv na hao ndiyo wanatakiwa wafe!!!

Mfano Hezbollah baada ya kufa Hassan Nasrallah mambo ya kwenda sawa wakasalimu Amri wakaweka mkataba wa Amani na sasa wako kimya wanasubiri tu kupokonywa silaha!!
Mawaziri wa Yemeni hawana usemi wowote kuhusu kundi la Ansarllah lenyewe ndio linaamua lifunge bahari au kulipua popote pale ndani ya Tel Aviv Sasa hapo mawaziri hawana uwezo wowote ule wa kuingilia shughuli za Al Houth Hata raisi wa Yemeni mukimuua mpango uko pale pale Al Houth wanajitegemea, tofauti na Labanon ambapo hizbollah hawamiliki eneo lolote lile ndani ya Lebanon Wala hawana maamuzi kupinga bunge la Lebanon Sema ni uzalendo TU wa kulinda nchi Yao isichuliwe Kama watu wanakwenda picnick
 
Hakuna Kiongozi Hata mmoja wa Al Houth mliyemuua mmeua mawaziri wa Yemeni. Ambao hili suala haiwahusu na hawana uwezo wa kuwazuia Al Houth kufanya kazi Yao.
Tumia akili zako vizuri wewe vita yoyote inaongozwa na wanasiasa hata hii ya Gaza wanaosababisha vita hii iwepo wako Qatar na Tel Aviv hao wakiamua leo vita basi vita inakoma leoleo!!

Tatizo leo Wafuga Midevu na Majini ni wabishi mno hata kwenye ukweli mnabisha tu!!
 
Mbona unateseka Sana na ndevu? Unakuaje mwanaume ambaye hana ndevu? Ni sawa na kuwa uchi mwanaume kukosa ndevu Tena jisikitikie Kwa kua unakosa baraka za Mungu Kwa kitendo Cha kukosa ndevu. Fuatilia wanaume wote wema na manabii wanaasili ya ndevu
 
Mawaziri wa Yemeni hawana usemi wowote kuhusu kundi la Ansarllah lenyewe ndio linaamua lifunge bahari au kulipua popote pale ndani ya Tel Aviv Sasa hapo mawaziri hawana uwezo wowote ule wa kuingilia shughuli za Al Houth Hata raisi wa Yemeni mukimuua mpango uko pale pale Al Houth wanajitegemea, tofauti na Labanon ambapo hizbollah hawamiliki eneo lolote lile ndani ya Lebanon Wala hawana maamuzi kupinga bunge la Lebanon Sema ni uzalendo TU wa kulinda nchi Yao isichuliwe Kama watu wanakwenda picnick
Tatizo lako wewe ni mbishi kama Mshipa acha nikuache tu vita vyote wanasiasa ndiyo wanaviongoza ndiyo maana kwenye makubaliano yoyote Netanyahu lazima aitishe baraza lake la mawaziri wakubaliane au wakatae hata Hamas vivyo hivyo hawawezi kufanya kitu bila mawasiliano na magaidi walioko Qatar!!! Wakisema kitu lazima Hamas watekeleze
 
Hao mawaziri nimekwambia hapa hawana uwezo wa kusimamisha shughuli za Al Houth wangekua wanaweza kipindi mmarekani na m British wanashambulia Kwa kasi wangeshasalimu amri lakini mwisho wa siku marekani alikwenda Moja Kwa moja Kwa mu Houth, ni kweli vita inaendeshwa na wanasiasa uchwara lakini Kwa Yemeni ni tofauti
 
Tathmini za Israel zinaonyesha kuwa Abu Ubaida ameangamizwa bila huruma yoyote

Afisa mmoja mkuu wa Israeli alisema: "Ikiwa angekuwa huko, hakuna uwezekano wa kunusurika jaribio hili la mauaji."

Taarifa za awali kuhusu mahali alipo zilipokelewa jana usiku, na saa 5:30 jioni hii fursa ilifunguliwa.

Israel inasisitiza: Kama mateka wangekuwepo katika eneo hilo, shambulio hilo lisingetekelezwa.
Taarifa ya pamoja ya Msemaji wa IDF na Shin Bet (ISA):

Muda mfupi uliopita, IDF na Shin Bet, wakiongozwa na Kamandi ya Kusini na kuongozwa na Ujasusi wa Kijeshi, walimpiga mfanyikazi mkuu wa Hamas katika eneo la Mji wa Gaza kaskazini mwa Ukanda wa Gaza kwa kutumia ndege ya IAF.

Kabla ya shambulio hilo hatua za kina zilichukuliwa ili kupunguza hatari ya vifo vya raia, ikiwa ni pamoja na matumizi ya risasi zenye usahihi, uchunguzi wa angani na taarifa za ziada za kijasusi.

Mashirika ya kigaidi katika Ukanda wa Gaza yanakiuka kimfumo sheria za kimataifa, yakinyonya kikatili taasisi za kiraia na wakazi wa eneo hilo kama ngao za binadamu kwa shughuli zao za kigaidi.

Kuuwawa kwa msemaji Mkuu wa Hamas, inaonyesha ushindi mkubwa - maana Abu Obaida ni miongoni mwa viongozi wa Hamas wakuu kuuwawa huko Gaza tangu kuanza kwa vita Oct 07,2023.
Kanga za Tela Aviv zimeanza
 
View attachment 3459121
Siku huyu jamaa wa Houthi akidedi pamoja na huyo Abuu ndio ntajua IDF ni kiboko wa yote.
Nasrallah, Sinwar, haniyeh, deif na list ya magaidi mengine mengi yaliyouwawa tangu October 7 unataka kusema IDF sio kiboko kweli? Au umesahau nguvu na ushawishi wa Nasrallah kwenye ulimwengu wa kigaidi hapo Middle East. ?
Kuna mtu alitegemea kama Hezbollah wangesambaratishwa ndani ya week mbili za mwanzo. Umesahau wajahidina wa humu JF walivyokua wanaikuza hezbollah?
Na pia umesahau operation rising lion ilivyoondoka na majenerali zaidi ya 30 wa Iran pamoja na wanasayansi wa Nuclear. Hapa tunazungumzia top layer ya viongozi wa Iran ikiwa ni pamoja na wakuu wawili wa kijeshi kuuliwa mfululizo pamoja na kamanda wa IRGC!
Au ulikua unataka IDF ifanye miujiza gani tena?!
 
Nasrallah, Sinwar, haniyeh, deif na list ya magaidi mengine mengi yaliyouwawa tangu October 7 unataka kusema IDF sio kiboko kweli? Au umesahau nguvu na ushawishi wa Nasrallah kwenye ulimwengu wa kigaidi hapo Middle East. ?
Kuna mtu alitegemea kama Hezbollah wangesambaratishwa ndani ya week mbili za mwanzo. Umesahau wajahidina wa humu JF walivyokua wanaikuza hezbollah?
Nasrallah walikuwa naye miaka kama miwili Yuko kwenye kilengeo. Alikuwa anaishi KWA sababu za kisiasa tu walipamua wakamfyeka. Ni kama Ayatollah.
Ila hawa wawili sawa na Sinwar wanatafutwa na wakijulikana ni kuangushwa hapohapo
 
Yaani walichofanya IDF haki hitaji akili nyingi ni sawa mtu ajue Kuna kikao Cha bunge dodoma mbio apeleke ndege na kwenda kushusha bomu pale bungeni ni sawa na kuua raia TU wasio na hatia wanavyofanya Gaza
 
️Majina ya baadhi ya maafisa wa serikali ya Yemen waliokufa kibucu katika hujuma ya ndege-Vita za Israel

1. Ahmed Ghalib Al-Rahwi, Waziri Mkuu wa Yemen
2. Jamal Amer, Waziri wa Mambo ya Nje wa Yemen
3. Hashem Sharaf Al-Din, Waziri wa Habari wa Yemen
4. Mohamed Ahmed Al-Mawlid, Waziri wa Michezo wa Yemen
5. Ahmed Abdullah, Waziri wa Sheria wa Yemen
6. Ali Qassem Al-Yafei, Waziri wa Utalii wa Yemen
7. Moeen Al-Mahqeri, Waziri wa Uchumi wa Yemen N.k.

Majeshi ya Israel yanasubiri tena yaone kama tena watafanya Fyokofyoko basi hatua kali kwao zitachukuliwa Wahouth hawa lazima watanyooka tu!!!
 
Tathmini za Israel zinaonyesha kuwa Abu Ubaida ameangamizwa bila huruma yoyote

Afisa mmoja mkuu wa Israeli alisema: "Ikiwa angekuwa huko, hakuna uwezekano wa kunusurika jaribio hili la mauaji."

Taarifa za awali kuhusu mahali alipo zilipokelewa jana usiku, na saa 5:30 jioni hii fursa ilifunguliwa.

Israel inasisitiza: Kama mateka wangekuwepo katika eneo hilo, shambulio hilo lisingetekelezwa.
Taarifa ya pamoja ya Msemaji wa IDF na Shin Bet (ISA):

Muda mfupi uliopita, IDF na Shin Bet, wakiongozwa na Kamandi ya Kusini na kuongozwa na Ujasusi wa Kijeshi, walimpiga mfanyikazi mkuu wa Hamas katika eneo la Mji wa Gaza kaskazini mwa Ukanda wa Gaza kwa kutumia ndege ya IAF.

Kabla ya shambulio hilo hatua za kina zilichukuliwa ili kupunguza hatari ya vifo vya raia, ikiwa ni pamoja na matumizi ya risasi zenye usahihi, uchunguzi wa angani na taarifa za ziada za kijasusi.

Mashirika ya kigaidi katika Ukanda wa Gaza yanakiuka kimfumo sheria za kimataifa, yakinyonya kikatili taasisi za kiraia na wakazi wa eneo hilo kama ngao za binadamu kwa shughuli zao za kigaidi.

Kuuwawa kwa msemaji Mkuu wa Hamas, inaonyesha ushindi mkubwa - maana Abu Obaida ni miongoni mwa viongozi wa Hamas wakuu kuuwawa huko Gaza tangu kuanza kwa vita Oct 07,2023.
MKUU NAANGALIA SIAMIN

HAYA NAMTAKIA BIKIRA NJEMA 78 AKA ENJOY HUKO ALIKOOOOOO
 
Na kama huamini nakuwekea na picha yake wakati wanatoa mzoga wake kwenye hilo jengo!!!!
 
Attachments

  • telegram_video.mp4
    5.1 MB
Na kama huamini nakuwekea na picha yake wakati wanatoa mzoga wake kwenye hilo jengo!!!!
Hujanielewa yaan nimeangalia walivyomfyeka sijaamini alafu alikuwa nankihererehere sana akakutane na bikira 78

Ritz njoo hukuuu
 
Ni kweli alikuwa na kiherehere sana acha afe tu hana maana yoyote!!!!
 
All church secretaries across the World to announce Man United's victory during Sunday Service tomorrow.

Be guided accordingly.
 
Back
Top Bottom