Yule mke wa kachero wa TANAPA...

Sasa mie kupata mwanaume mbona unaumia kama vile nimekuzibia nawe usipate, tafuta tu nawe utapata....
Bila shaka umefurahi roho kwatu, make kwa ile id nyingine huwa sikujibu leo nimekujibu, hizo salamu za pm unajichosha tu shoga mchafu

Hehehehehe sasa na wewe huo ushoga wangu unakuumizaje?? Naona umeukomalia kweli... Salamu zipi za PM?? Na ID ipi unaizungumzia?? Hehehehehehe maskini umeanza kuguess guess sasa kwakwakwakwaaaa..
 
Nshakunyamazia kitambo we tuma pm, niquote sijibu atleast ukija na ID nyingine kiivi ndo utapata bahati ya kujibiwa
 
Maskini uko obsessed sana.. Sasa hapa haujibu?? Hahahahaha PM?? Over my dead body hahahahaha... Nakuruhusu na wala Mod wasikupe ban ebu lete hizo screenshots za PM hapa tuzione wazi na sio kujifagilia ujinga
 
Kwani Hoja Ambayo Imetolewa Uzi Ni Hayo MATUSI Na MIPASHO!!!?? Au Imekuwaje Wadau!!!!?
 
Nshakunyamazia kitambo we tuma pm, niquote sijibu atleast ukija na ID nyingine kiivi ndo utapata bahati ya kujibiwa

As far as I know watu ambao nimewasiliana nao PM ni hao tu.. Na kama ulidanganywa na mtu yeye ni mimi pole sana..
 
Attachments

  • 1451161515796.jpg
    24 KB · Views: 148
  • 1451161536374.jpg
    26.7 KB · Views: 139
Hehehehehe sasa na wewe huo ushoga wangu unakuumizaje?? Naona umeukomalia kweli... Salamu zipi za PM?? Na ID ipi unaizungumzia?? Hehehehehehe maskini umeanza kuguess guess sasa kwakwakwakwaaaa..

Kicheko hiki we kijana sio mboga?
 
As far as I know watu ambao nimewasiliana nao PM ni hao tu.. Na kama ulidanganywa na mtu yeye ni mimi pole sana..
huna jipya changudoa wa kiume kwa leo naishia hapa na utakua bench kwa kutojibiwa hadi uje na id nyingine tena
 
Hehehehehehe kwani majibu yako yataniongezea pesa kwenye account yangu... Naona kuleta hizo PM ulizoziongelea hapa umeshindwa sasa umeamua kutoka mbio... Umebakiwa na hiyo faraja ya kujionyesha na wewe mtu kwenye mitandao
 
Kama hujui nakujulisha kuweka pm hadharani ni kinyume cha sheria za jf tingisha tu tako udhani upo sawa, huna jipya unaloongea zaidi ya kujichekesha so sioni cha kuongea na wewe hivo nakuachia muda wa kwenda kufirw*
 
Mimi nimekuruhusu uweke yangu tu... Nadhani hata matusi ni kinyume cha sheria za JF sasa nashangaa unavyochagua sheria za kuvunja na kutovunja.. Nimekuruhusu weka PM yangu tu hapa.. Na kama ukiiweka naruhusu mods wakuache wewe na mimi nipigwe life ban kwa hii ID pamoja iliyokuambia yeye ni mimi..
Invisible
 
Last edited by a moderator:

Mkuu ndagla, hiyo picha (avatar) nimecheka sana stori yake.....halafu imeibuliwa kipindi cha xmass
 
Mmachame halisi

Wanawake wa Kimachame,watu mnawachukulia tofauti na uhalisia. ..Ila kwa taarifa wanawake wa Kimachame ni wanawake wazuri sana, na wenye upendo kwa waume zao. watu ambao wameoa Machame wanaweza kuwa thibitishia hilo. hizi habari kwamba ni wakatili hazina mashiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…