Sasa umeshaoa unataka awe karibu na wewe ili iweje? kama ulimuona si wa muhimu na elimu ndogo ndo basi usitake kumuharibia binti wa watu mwelekeo wa maisha kwani hutamuoa zaidi utamchezea tu! achana na hiyo mambo concentrate kwa mkeo na familia yako!
Mimi ninakushauri uende kwa mchungaji au padri mkatengue ndoa yenu. Ili uwe naye.Kama nilivyosema awali (Kuna dada nilimpenda sana, ila nilishindwa kumuoa kwa sababu ya elimu ndogo aliyonayo; kipindi hicho sikujua ndoa ni zaidi ya elimu, ndio nimetambua sasa; nimekubali makosa kwa kuwa nimeshaoa-kwa sasa nilikuwa najitahidi kumsahau lakini nashindwa!!!!!), Leo nimempigia simu nikafurahi pale alipoipokea. Hata nilivyoisikia sauti yake nilisikia amani moyoni mwangu!!!! na kujaribu kumuomba msamaha; lengo langu ni ili basi aendelee kuwa karibu yangu. Lakini KAKATAA KABISA, Nazidi kuumia nifanyeje wa JF????? UKWELI NIMESHAOA KWA NDOA YA KIKRISTO-ILA NINAMPENDA SANA HUYU BINTI AMBAYE SIKUMUOA, NAOMBENI MSAADA TAFADHALI.
Unaweza pia kunitumia e-mail: hamasisha30@yahoo.com
Dah hayo maneno niloyamark yananiumiza moyo sana!!!:disapointed::disapointed:Kama nilivyosema awali (Kuna dada nilimpenda sana, ila nilishindwa kumuoa kwa sababu ya elimu ndogo aliyonayo; kipindi hicho sikujua ndoa ni zaidi ya elimu, ndio nimetambua sasa; nimekubali makosa kwa kuwa nimeshaoa-kwa sasa nilikuwa najitahidi kumsahau lakini nashindwa!!!!!), Leo nimempigia simu nikafurahi pale alipoipokea. Hata nilivyoisikia sauti yake nilisikia amani moyoni mwangu!!!! na kujaribu kumuomba msamaha; lengo langu ni ili basi aendelee kuwa karibu yangu. Lakini KAKATAA KABISA, Nazidi kuumia nifanyeje wa JF????? UKWELI NIMESHAOA KWA NDOA YA KIKRISTO-ILA NINAMPENDA SANA HUYU BINTI AMBAYE SIKUMUOA, NAOMBENI MSAADA TAFADHALI.
Unaweza pia kunitumia e-mail: hamasisha30@yahoo.com
Kama nilivyosema awali (Kuna dada nilimpenda sana, ila nilishindwa kumuoa kwa sababu ya elimu ndogo aliyonayo; kipindi hicho sikujua ndoa ni zaidi ya elimu, ndio nimetambua sasa; nimekubali makosa kwa kuwa nimeshaoa-kwa sasa nilikuwa najitahidi kumsahau lakini nashindwa!!!!!), Leo nimempigia simu nikafurahi pale alipoipokea. Hata nilivyoisikia sauti yake nilisikia amani moyoni mwangu!!!! na kujaribu kumuomba msamaha; lengo langu ni ili basi aendelee kuwa karibu yangu. Lakini KAKATAA KABISA, Nazidi kuumia nifanyeje wa JF????? UKWELI NIMESHAOA KWA NDOA YA KIKRISTO-ILA NINAMPENDA SANA HUYU BINTI AMBAYE SIKUMUOA, NAOMBENI MSAADA TAFADHALI.
Unaweza pia kunitumia e-mail: hamasisha30@yahoo.com
Mwaga vocha, mwaga mizawadi, mwaga outing za nguvu. weka nyumba ndogo
human needs are never satsfied, wakati mwingine ni bora kuwa binadamu mwenye njaa kuliko kuwa nguruwe aliyeshiba.