Victor wa happy JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 11,660 Reaction score 11,664 Jun 7, 2019 Thread starter #21 Ahahah baba swalehe said: [emoji28] Ngja nmwulize Click to expand...
ngulyavyangu JF-Expert Member Joined Jan 9, 2019 Posts 203 Reaction score 266 Jun 7, 2019 #22 Hii nayo ni code? Ufanunuzi pls huyo dada ni Nani na anahusika na nini
MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,260 Reaction score 6,823 Jun 7, 2019 #23 Victor wa happy said: Huwa namkubali sana huyu dada View attachment 1120547 Click to expand... ..inaelekea alikuwa maternite au alipelekwa ng'ambo kunolewa zaidi... Ah, hapana hili tukio si hili la leo la wafanyabiashara, ni la muda mrefu tu.. Tizama yule ADC ni wa zamani si huyu wa sasa...
Victor wa happy said: Huwa namkubali sana huyu dada View attachment 1120547 Click to expand... ..inaelekea alikuwa maternite au alipelekwa ng'ambo kunolewa zaidi... Ah, hapana hili tukio si hili la leo la wafanyabiashara, ni la muda mrefu tu.. Tizama yule ADC ni wa zamani si huyu wa sasa...
B Bobby JF-Expert Member Joined Jan 10, 2008 Posts 2,182 Reaction score 1,898 Jun 7, 2019 #24 Victor wa happy said: Huwa namkubali sana huyu dada View attachment 1120547 Click to expand... Hii picha ni ya zamani mkuu huoni huyo mpambe ni yule aliyepumzishwa?
Victor wa happy said: Huwa namkubali sana huyu dada View attachment 1120547 Click to expand... Hii picha ni ya zamani mkuu huoni huyo mpambe ni yule aliyepumzishwa?
Mr pianoman JF-Expert Member Joined May 22, 2019 Posts 2,649 Reaction score 6,485 Jun 8, 2019 #25 Picha ya kitambo sana hii huyo mpambe ana mwaka saivi tangu aache hicho kitengo na kupandishwa cheo na kuwa brigedia General..
Picha ya kitambo sana hii huyo mpambe ana mwaka saivi tangu aache hicho kitengo na kupandishwa cheo na kuwa brigedia General..
T Turudi pale Rau Madukani JF-Expert Member Joined Jan 16, 2016 Posts 2,793 Reaction score 5,899 Jun 8, 2019 #26 Aliyeshona suti ya huyo jamaa hapo pembeni Mungu anamwona.