Yule anayethubutu kusema Lowassa Fisadi

Tulishaweka sana hapa lakini ilipigwa kibuti kama jinsi Freeman alivyo wataja majipu papa watatu lakini ndio kwanza wanapishana magogoni
 
Tulishaweka sana hapa lakini ilipigwa kibuti kama jinsi Freeman alivyo wataja majipu papa watatu lakini ndio kwanza wanapishana magogoni
Huyo mbowe haaminiki si ndio huyu huyu nae alisema anaishangaa serikali kuwafunga vibaka nakumwacha fisadi papa lowasa?
 
Tulishaweka sana hapa lakini ilipigwa kibuti kama jinsi Freeman alivyo wataja majipu papa watatu lakini ndio kwanza wanapishana magogoni
Unarudia kosa lile lile, unamtaja Freeman kama vile ni mtu msafi wakati na yeye ni jipu, ni tatizo kama yalivyo matatizo mengine. Unarudia mambo ambayo tumeshayaongea leo hii. Freeman hana usafi wa kimaadili wa kuwanyooshea kidole watu wengine. Alipaswa kuwa ameshakabidhi uenyekiti wa CHADEMA tangu mwaka 2014, akiwa anamalizi kipindi cha pili cha uongozi wake, ametumia ushawishi wake mpaka ameongeza muda wa uongozi. Freeman ni tatizo pia, hajawahi kuwa sehemu ya suluhisho. CHADEMA kwa kumpokea Lowassa, kwa freeman kumpatia nafasi ya ugombea urais huku akijua rekodi zake ndani ya CCM, tayari ulikuwa ni ushahidi wa upotezaji wa maadili wa CHADEMA. Jitahidi utafakari mambo kwa undani kabla hujaandika kitu.
 
Kwa Mujibu wa Katiba ya Lumumba?
 
Angelua aminiki msingekua mnaweweseka mkimsikia
Yaani serikali iweweseke kwa ajili ya mbowe naona taratibu mnaanza kuchanganyikiwa sasa.tena serikali ya Magufuli kabisa.nyie tulieni muyale matapishi yenu.
 
Kwa Mujibu wa Katiba ya Lumumba?
Katiba ya chama cha familia ya mzee Mtei kinachoitwa CHADEMA, ambacho kwa sasa kipo chini ya mume wa binti wa mzee huyo ambaye aliwahi kuwa gavana wa benki kuu ya Tanzania katika miaka ya sitini. Katiba ya CHADEMA ilibadilishwa ili Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti, sitashangaa ikifika mwaka 2019 katiba hiyo ikafanyiwa mabadiliko kwa mara nyingine tena ili mkwe wa mzee Mtei aendelee kuwa mwenyekiti.
 
Yaani serikali iweweseke kwa ajili ya mbowe naona taratibu mnaanza kuchanganyikiwa sasa.tena serikali ya Magufuli kabisa.nyie tulieni muyale matapishi yenu.
Hahah naona unasahau ule usemao nyani aoni kundule maana wenzako wanahaha
 
Hiyo katiba unayoisemea wewr ni ile inayokaa kwenye mfuko wa vasco dagama anachomoa tuu nakusoma
 
Lowassa, Chenge, Rugemalila, Karamagi, Rostam na wengine watabaki kuwa mafisadi bila kujadili chama walichopo wala hatua walizochukuliwa.
Pia mtaani wapo wezi, matapeli, majambazi na wahuni wengi tu ambao hawajachukuliwa hatua.
 
Hahah naona unasahau ule usemao nyani aoni kundule maana wenzako wanahaha
Sijaona anayehaha labda wewe ndo unayehaha kusema huyu mmiliki mpya wa saccos asitokee mtu wakumsema kwa ufisadi huku ukisahau chadema hikihiki ndo kilichoanza kumnanga huyu lowasa mpaka basi kikizunguruka nchi nzima kutuaminisha fisadi papa ushaidi wanao lukuki kumbe njaa tu Leo yako wapi.
 

Wale ambao siyo wana CCM na waliokuwa misled na wana CCM hao hao waliligundua hilo na kusema;

lol....! kumbe tuliingizwa mkenge kwa fitina za kisiasa za wana CCM wenyewe kumbe ukweli wa mambo ni kinyume chake!!??

Na ndiyo maana leo wako pamoja na yeye kasemehe na maisha yanaendelea!!

How come tena wana CCM nyie mliokuwa mnaamini kuwa huyu jamaa "alipatwa na ajali ya kisiasa tu", leo mmeshupaza shingo zenu mki - shout kuwa huyu jamaa ni fisadi papa to the extent kwamba anaundiwa na mahakama yake kabisa and yet mtu huyu yuko mitaani tu anadunda tena akiwa ameshajitoa katika wigo wa kulindana miongoni mwao!!??

Mpaka hapo unaweza kuona kuwa sijaikwepa hoja yako, nimeijibu na nimerudia tena kuijibu hapa na ndiyo maana narudia kukuambia hujui kuwa kwa mujibu wa sheria za Tanzania ni makosa mtu kuhonga pesa watu au mtu flani kwa kusudi la kupata nafuu ya ulinzi flani?

Si ndiyo maana yako ya "aliwapa pesa ndefu" (ukimaanisha hongo au rushwa na nadhani ukimaanisha kule alikohamia sasa i.e CHADEMA), au
siyo mkuu?

Ndiyo tunasema, let him be the first to be taken to that special court on graft and corruption jumlisha na hawa waliopewa "hela ndefu" kama washtakiwa wenzake na mashahidi vilevile!!

I hope you ha've gotten the point now!
 
Inakua shida kdg kumtumbua njeree coz wenye ushahidi ndo yuko nao kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…