Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Kapotea njia, ndio maana kwa sasa hana tofauti na wewe mwanahabari, anafuatilia mambo madogo ili apate kick zinazodumu kwa muda mfupi.Wewe ndio limbukeni wa siasa haende wapi wakati ametoka huko kwenye ukurunziza
ALISHADEMA AULIZWE ALIYEKUA BOSS WAKE VASCO DAGAMAAmesahau pointi moja, ndio mhusika mkuu wa kashfa ya richmond ambayo ilimuondoa madarakani, akawa waziri mkuu wa kwanza katika historia ya Tanzania kuwahi kujiuzulu kwa kashfa. Hawezi kupewa medali yoyote ile ya heshima, kwa sababu ya kashfa aliyoipata akiwa waziri mkuu!!.
Asante sana na Baado wakamuogopa wakaacha kuwaletea Watanzania maji safi ya Kunywa wamewaletea Magari ya maji yanayowashaMiaka 10 akiwa ccm mlishindwa kutamka na kudhibitisha ufisadi wake leo mtaweza
Baada ya Pushup nini kilifuaya?Huyo aliyetoka CCM ni nzi wa kinyesi pia. Lengo lake, ushawishi wake, maarifa yake, ni vitu ambavyo alivipata akishirikiana na nzi wa kinyesi kama yeye ambao leo hii ni wana vyeo vikubwa. Kama asingeshtukiwa kwamba yeye ni nzi wa kinyesi mwenye harufu mbaya kuliko wote kiasi cha kuharibu mazingira kwenye helikopta za kukodi wakati wa kampeni, pengine nzi huyo angekuwa anaitwa rais wa Tanzania kwa sasa!. Mungu ni mkubwa amemuepisha nzi wa kinyesi asiwe kuifanya nchi nzima ikanuka harufu mbaya ya kinyesi, kama ile harufu iliyokuwa kwenye helikopta kule Geita.
Kwa hiyo wote ambao hawajatumbuliwa mpaka leo sio mafisadiYule anaethubutu kusema Lowassa ni Fisadi Mpaka leo hii akapimwe akili.
Nchi hii ina Mihimili mitatu.
Raisi
Bunge
Mahakama.
Eti Pamoja na Tumbua tumbua ya Majipu na Chunusi zake bado tu Lowassa hajatumbuliwa.
Bado unasema tu Lowassa ni Fisadi?
Angekuwa CCM tungesema serikali inamlinda kwa kuwa serikali ya CCM ni serikali ya kulindana.
Lakini Pamoja na kuhama kwenda Upinzani lkn bado hajatumbuliwa tu bado? Bado unaamini Lowassa ni Fisadi?
Pamoja na Utumbuaji wa Majipu huu unaozingatia Sifa, Kick, KujikombaKomba, mihemko.
Hebu niambie ni nani ambae hapendi sifa za Kumtumbua Lowassa? Kama Fisadi Papa?
Hata JMP mwenyewe anapenda sana angeweza kupata nafasi ya kumtumbua Lowassa kama Fisadi. Lakini Utamtumbuaje mtu ambae hana Jipu?
JMP alitangaza Mahakama ya Mafisadi, Kwa jinsi Lowassa alivyokua anahubiriwa kuwa ni Fisadi nilijua Lowassa angefanya uzinduzi wa Mahakama ya Mafisadi na Kuweka historia kuwa Mtu wa Kwanza kuhukumiwa kwenye Mahakama ya Mafisadi ni E. N. Lowassa.
Bila shaka hata Magufuli anapenda sana kupata sifa ya kumtumbua mtu mkubwa.
Pamoja na JMK kutamka hadharani kuwa, washughulikiwe wale wote waliokihujumu chama. Mi nadhani kila alie madarakani sasa hivi Anatamani kushughulikia wale waliokihujumu chama na Mmoja wapo ni LOWASSA ili apate sifa na Kick.
ila swali langu ni kwamba, Utamtumbuaje mtu ambae hana jipu?
Ndo maana Nikasema kwamba ANAEAMINI MPKA LEO HII KUWA LOWASSA NI JIPU AU NI FISADI AKAPIMWE AKILI.
Bila shaka kama sio tu uwezo wa kufikiria ni Mdogo sana, Basi ni Zero kabisa.
Kusoma hujui, Hata picha huoni?
Wale 3 Freeman Mbowe aliyowataja wameshatumbuliwa?Kwa hiyo wote ambao hawajatumbuliwa mpaka leo sio mafisadi
JK alimkana kwenye huyo mzee wa monduli, siku ya mwisho ya kampeni pale CCM Kirumba, alisema uhusika wake uliishia kwenye kuwepo ndani ya ukumbi wa kikao cha kuridhia kutafuta kampuni ya kigeni itakayofanya kazi ya kuzalisha umeme. Hahusiki katika shughuli nyingine zote baada ya hapo. Huu msala utamuandama mzee wa monduli maisha yake yote.ALISHADEMA AULIZWE ALIYEKUA BOSS WAKE VASCO DAGAMA
Freeman mwenyewe anapaswa kutumbuliwa, ni tatizo ambalo nyinyi hamuwezi kuliona.Wale 3 Freeman Mbowe aliyowataja wameshatumbuliwa?
Kazi inaendelea. Nyinyi hamna majukumu ndio maana wala hamuwezi kujua kitu gani kinaendelea nchini. JPM aliweza kupiga pushup jukwaani yule wa kwenu alipanda jukwaani akiwa ameshiliwa na wasaidizi, tena sio mara moja wala mara mbili.Baada ya Pushup nini kilifuaya?
Je kuna Mwizi anakubaligi kua ameiba kirahisi? Je ccm mlimchukulia Lowassa Mamuzi ya kumfikisha mahakamani ilehali Takokuru na vyombo vyote vya usalama ni venu? Mwisho Jk alikua wapi mdaa wote aje kwenye kufunga kampeni ndio aseme hivyo baada ya miaka nane? Je unajua tabia ya Mnafki inavyokuaga?JK alimkana kwenye huyo mzee wa monduli, siku ya mwisho ya kampeni pale CCM Kirumba, alisema uhusika wake uliishia kwenye kuwepo ndani ya ukumbi wa kikao cha kuridhia kutafuta kampuni ya kigeni itakayofanya kazi ya kuzalisha umeme. Hahusiki katika shughuli nyingine zote baada ya hapo. Huu msala utamuandama mzee wa monduli maisha yake yote.
Naona makengeza yanakusumbua sana, maana hukuona kilichotokea hata harufu hukusikia?Kazi inaendelea. Nyinyi hamna majukumu ndio maana wala hamuwezi kujua kitu gani kinaendelea nchini. JPM aliweza kupiga pushup jukwaani yule wa kwenu alipanda jukwaani akiwa ameshiliwa na wasaidizi, tena sio mara moja wala mara mbili.
Muite JK vyovyote utakavyoweza, kitu kizuri alichokifanya ni kumchinjia baharini huyo mzee wa monduli. Huyo mzee alishaambiwa tangu enzi zile na mwalimu, kwamba achana na ndoto za urais, wewe hufai kuiongoza nchi hii. Huwezi kwenda kinyume na maneno ya wazee hata siku moja. Inawezekana wewe mwanahabari enzi hizo ulikuwa bado kiakili haujazaliwa, mengi yanayoongelewa huyafahamu na hutaki kuyafahamu labda kwa sababu ya umri wako mdogo.Je kuna Mwizi anakubaligi kua ameiba kirahisi? Je ccm mlimchukulia Lowassa Mamuzi ya kumfikisha mahakamani ilehali Takokuru na vyombo vyote vya usalama ni venu? Mwisho Jk alikua wapi mdaa wote aje kwenye kufunga kampeni ndio aseme hivyo baada ya miaka nane? Je unajua tabia ya Mnafki inavyokuaga?
LOWASSA SI FISADI,CCM NI FISADIYule anaethubutu kusema Lowassa ni Fisadi Mpaka leo hii akapimwe akili.
Nchi hii ina Mihimili mitatu.
Raisi
Bunge
Mahakama.
Eti Pamoja na Tumbua tumbua ya Majipu na Chunusi zake bado tu Lowassa hajatumbuliwa.
Bado unasema tu Lowassa ni Fisadi?
Angekuwa CCM tungesema serikali inamlinda kwa kuwa serikali ya CCM ni serikali ya kulindana.
Lakini Pamoja na kuhama kwenda Upinzani lkn bado hajatumbuliwa tu bado? Bado unaamini Lowassa ni Fisadi?
Pamoja na Utumbuaji wa Majipu huu unaozingatia Sifa, Kick, KujikombaKomba, mihemko.
Hebu niambie ni nani ambae hapendi sifa za Kumtumbua Lowassa? Kama Fisadi Papa?
Hata JMP mwenyewe anapenda sana angeweza kupata nafasi ya kumtumbua Lowassa kama Fisadi. Lakini Utamtumbuaje mtu ambae hana Jipu?
JMP alitangaza Mahakama ya Mafisadi, Kwa jinsi Lowassa alivyokua anahubiriwa kuwa ni Fisadi nilijua Lowassa angefanya uzinduzi wa Mahakama ya Mafisadi na Kuweka historia kuwa Mtu wa Kwanza kuhukumiwa kwenye Mahakama ya Mafisadi ni E. N. Lowassa.
Bila shaka hata Magufuli anapenda sana kupata sifa ya kumtumbua mtu mkubwa.
Pamoja na JMK kutamka hadharani kuwa, washughulikiwe wale wote waliokihujumu chama. Mi nadhani kila alie madarakani sasa hivi Anatamani kushughulikia wale waliokihujumu chama na Mmoja wapo ni LOWASSA ili apate sifa na Kick.
ila swali langu ni kwamba, Utamtumbuaje mtu ambae hana jipu?
Ndo maana Nikasema kwamba ANAEAMINI MPKA LEO HII KUWA LOWASSA NI JIPU AU NI FISADI AKAPIMWE AKILI.
Bila shaka kama sio tu uwezo wa kufikiria ni Mdogo sana, Basi ni Zero kabisa.
Kusoma hujui, Hata picha huoni?
Kuna watoto hawataki hata kufikiria, wao wanabebwa jumla jumla tu na ushabiki wa bei rahisi, asante sana kwa points zako.Kwangu Lowassa ni FISADI. Alianza kutajwa FISADI tangu alipokatwa na NEC mwaka 95, alipopata uwaziri mkuu siku chache tu alijiuzulu kwa kashfa ya KIFISADI. Na Chadema wakiongozwa na Dr. Slaa walimuanika kama FISADI na kumjumuisha kwenye orodha ya aibu LIST OF SHAME. Tangu wakati huo si Chadema wala chanzo chochote ninachokiamini ambacho kimeweza kunithibitishia kuwa Lowassa ni msafi zaidi ya kushuhudia wale ninaowaamini Slaa na Lipumba wakimkimbia Lowassa ukawa (kumbuka kila mtu ana haki ya kumuamini fulani zaidi ya fulani kwa mfano mimi Mbowe kila nikimtazama usoni naona mh! Huyu.. !)
Angaliea usije kuta mimi ndio Baba yako, Hizo kauli ni zile mlizokua mnatoleana huku mejifungia kwenye kachumba kamoja? REJEA KAULI YA BABA WA TAIFA, CCM SIYO MAMA YANGU WALA BABA YANGUMuite JK vyovyote utakavyoweza, kitu kizuri alichokifanya ni kumchinjia baharini huyo mzee wa monduli. Huyo mzee alishaambiwa tangu enzi zile na mwalimu, kwamba achana na ndoto za urais, wewe hufai kuiongoza nchi hii. Huwezi kwenda kinyume na maneno ya wazee hata siku moja. Inawezekana wewe mwanahabari enzi hizo ulikuwa bado kiakili haujazaliwa, mengi yanayoongelewa huyafahamu na hutaki kuyafahamu labda kwa sababu ya umri wako mdogo.