Yule anayethubutu kusema Lowassa Fisadi

mkitaka kujua Lowasa ni fisadi muulizeni Tundu lissu, Dr Slaa, Dr Mwakyembe ,Mbowe, Kubenea, Lema, yaani ni aibu. lakini ingekuwa bora wakaja tena kwa wananchi nchi nzima wakamsafisha ili imani waliyoijenga kwa wananchi ifutike.
Kama umefwatila mjadala jibu umelipata kwa manufa mlianza kuchafuana huko ccm aka chama cha machafuko kwa jili ya maslai yenu binafsi mkawaminisha watanzania wote kwa ujumla lakini ukweli ulivyojulikana watu wamewakata
 
Hatua ya kwanza kukata jina lake kugombea urais. Ilidhaniwa kwamba vyama vyote makini watamtema. Angalau tumejua kuna vyama Saccos. Unavinunua tu kama bidhaa yoyote.

Kama CCM hawakuwa na ushahidi wa ufisadi wa Lowasa basi alikatwa jina lake kwa fitna na majungu period. Sasa naanza kuamini kuwa mhusika mkuu wa Richmond ni yule aliyetajwa na Lissu ambaye ndiye aliyesimamia kikao cha CC kuchuja majina ya wagombea wa CCM. Na ambaye leo hii Magufuli anasumbuka kutumbua majipu aliyoyaumua yeye. Very interesting!
 
Baada ya ukweli kujulikana hana ufisadi wowote mafisadi na majipu juzi Freeman Mbowe amewataja
chengine ni kwamba , watanzania wengi walijua yale makampuni yaliyokwepa kodi na kupitisha makontena bila kulipa kodi , robo 3 ama labda yote ni ya lowassa !
 
Magufuli anajua kwamba mhusika mkuu na mnufaikaji mkuu wa ufisadi wa nchi hii ni nani , anamjua , hana ubavu wa kumshtaki lowassa maana anajua hana tuhuma .
 
Magufuli anajua kwamba mhusika mkuu na mnufaikaji mkuu wa ufisadi wa nchi hii ni nani , anamjua , hana ubavu wa kumshtaki lowassa maana anajua hana tuhuma .
Hakuna mhusika mmoja ambaye ni mkuu wa ufisadi, hayo ni maneno ya kupamba habari za magazeti, kila anayeihujumu nchi ni mhusika mkuu wa ufisadi kuanzia wale wa TRL mpaka wale wa ESCROW, wote ambao kwa njia moja au nyingine wanaihujumu nchi, ni wahusika wakuu wa ufisadi, dhambi ni dhambi tu hakuna kubwa wala ndogo. Ukiingia kwenye anga za TAKUKURU na ushahidi wote ukajitosheleza wewe ni mhusika mkuu wa ufisadi.
 
kwa mfano unauzungumziaje uwepo hadi leo wa RICHMOND kwa majina mapya ? hata baada ya lowasa kuondoka Richmond haikutetereka , ikabadilika ikawa Dowans na baadaye SYMBION .
 

Kimgusa E N L ni kumgusa mzee wa anga za kimataifa a k a Jk kumbuka jamaa alisema ni kwa amri ya mamlaka ya juu. Muwe tayari
 
Lissu huyo huyo aliyesema kwa nini ccm wanampa fomu ya kugombea urais fisadi Lowassa
 
Basi hiyo dhambi niya boss wake
 
chengine ni kwamba , watanzania wengi walijua yale makampuni yaliyokwepa kodi na kupitisha makontena bila kulipa kodi , robo 3 ama labda yote ni ya lowassa !
Chama cha Machafuko kinafanya mahasi kwa kujificha kwenye majina ya watu
 
Na Aliongea ukweli kabisa bosi wake hana cha kukwepa
JK alimkana EL, kwa taarifa yako EL alikuwa na lengo baya sana, wenye akili kumzidi walimuwahi njiani, wakawa wamemaliza kazi. Nguvu mnayotumia kumsafisha inapotea bure kabisa. Dr. Slaa alifananisha CHADEMA na choo kinachonuka, baada ya kumpokea EL. Wewe humu JF unachukua perfume unaipulizia kwenye chumba chenye harufu ya choo!!. Unapoteza muda mwanahabari huru.
 
Dr. Mihogo huyo mliomnusuria nyumba yake kuzwa? Alimkana baada yakushtukiwa kua muhusika mkuu ni yeye hata Lowassa alisema Mamlaka ilitoka juu
 
Ni fisadi tu....!! Hivi pesa ya ku walipa viongozi wa chadema wilaya nchi nzima anazotakiwa wapi? Magufuli hamuwezi ÈL ... kwakuwa Magu mkali lkn si mwerevu!!
 
Ni fisadi tu....!! Hivi pesa ya ku walipa viongozi wa chadema wilaya nchi nzima anazotakiwa wapi? Magufuli hamuwezi ÈL ... kwakuwa Magu mkali lkn si mwerevu!!
Kumbuka chadema Kinaruzuku kwahiyo kinajiendesha na Lowassa hajatoa hela yoyote fwatilia ruzuku ya vyama vya siasa
 
Tangu uanze kufanya uongo umepata faida gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…