Yule anayethubutu kusema Lowassa Fisadi

itoshetu ushindi wa Zanzibar ni wazi ni wa CUF pia ushindi wa Meya jiji Dar es salaam ni wazi ni wa ukawa hata mtu .wenye akili ya kupengea kamasi ukimuuliza atakwambia hivyo lakini kwa tahira kama wewe hulioni hilo..

Anajua Sana sema ndo kujitoa upofu ikiwa maboss zake walikuja na ushahidi kabisa.
 
Baada ya ukweli kujulikana hana ufisadi wowote mafisadi na majipu juzi Freeman Mbowe amewataja
Hao anaowataja Mbowe siku wakiingia CDM watasifiwa kama Lowassa.
Ndiyo hulka ya CDM kwa sasa. Watu kama Lissu, Lema wanapata wapi ujasiri wa kumkumbatia Lowassa kwa sasa. Walikuwa mstari wa mbele kumwita fisadi hadi nchi nzima ikaamini hivyo.
 
Hao anaowataja Mbowe siku wakiingia CDM watasifiwa kama Lowassa.
Ndiyo hulka ya CDM kwa sasa. Watu kama Lissu, Lema wanapata wapi ujasiri wa kumkumbatia Lowassa kwa sasa. Walikuwa mstari wa mbele kumwita fisadi hadi nchi nzima ikaamini hivyo.
Huo ushaidi wa ufisadi wa lowassa upo wapi huko kwenu Lumumba
 
Nipe hicho Kipengele kwenye katiba ya Chadema usilete ya Lumumba
Wewe kama mwanachadema kweli ipitie katiba yako na utagundua usanii ambao ilifanyiwa na viongozi wako. Haiwezekani chama kiwe na jina demokrasia halafu uongozi wake ukawa ni wa kifamilia halafu jamii isikosoe eti kwa sababu itauombwa itaje kifungu.
 
MLIAMINISHA WATU UJINGA KWA MASLAI YA CCM LAKINI BAADA YA UKWELI KUJULIKANA KIBAO KIMEWARUDIA
Aliyeaminisha habari za ufisadi ni nani?Ama nawe kipindi hicho hukuwepo duniani pengine ulikutwa na bahati mbaya yakufukiwa na kifusi mgodini?maana ikiwa maboss wako wote walisema huyu ni fisadi papa hadi kwenye web site ya chama akawekwa ama ulikua hujazaliwa? Maana nisije maliza mate kumbe umezaliwa 2010 bana.Waambie maboss zako Mnyika, lema,Msigwa,Mbowe kua waliwaaminisha ujinga wananchi.
 
Wewe unajua kwanini Mwakyembe akumalizia ile report kama unakumbukumbu alisema nini?
 
Nipe hicho Kipengele kwenye katiba ya Chadema usilete ya Lumumba
Mkapa ilikuwa aachie uongozi mwaka 2007 akaamua kuondoka 2005. Kikwete anatakiwa aondoke 2017 na anaweza kuondoka mapema zaidi. Hivyo ndivyo vyama vya siasa vinavyoongozwa. Haviwi ni mali ya watu wachache tu, lazima uwepo utaratibu wa madaraka ya juu kuachwa kwa viongozi wanaoibuka kila kukicha. CHADEMA ni jina zuri lakini kwa ustaarabu wa mtu mmoja tu kuwa mwenyekiti, lile neno DE linalosimama kwa niaba ya demokrasia, linapoteza maana.
 
Unarudi pale pale nilipokwambia katiba unayoongelea wewe niya Lumumba sasa unataka kuleta huku Chadema chama Dume hatuishi nafisi huku
 

Kwa hiyo imetosha tu kuamini kuwa Lowasa ni fisadi? Kwamba "alikataliwa" na Mwalimu; kwamba alitangazwa na CHADEMA mwembe yanga (pamoja na Kikwete). Inatusaidia nini sisi wakati pamoja na serikali yetu tumeshindwa kumdai arudishe mali zetu wala kumfunga jela? Kama ni uchaguzi tayari "alishashindwa". Ni kipi kilichobaki? Ni raha ya kisaikolojia tu kumtangaza kila siku kuwa ni fisadi basi? Wakati huohuo kuna watu wanaihujumu nchi kwa ufisadi usiopimika! What desperation!
 
Unarudi pale pale nilipokwambia katiba unayoongelea wewe niya Lumumba sasa unataka kuleta huku Chadema chama Dume hatuishi nafisi huku
Badilisheni jina ili muondoe lile neno demokrasia, linaiaibisha demokrasia inayotambulika duniani. Ukweli ni kwamba Mbowe keshamaliza muda wa uongozi wake. Huu ni muda ambao chadema ilistahili kuwa na mwenyekiti mwingine. Mnapelekeshwa na nyie mnajiendea tu.
 
Mkuu hawa nusu kijiko wa Lumumba wanajitoa akili za kibinadamu nakujivika akili za kifisi kabisa
 
Pitia ulicho comment tokea mwanzoni tabia za fisi nikutotazama mkia wake nyie kutwa nikuweweseka na Chadema tu
 
Reactions: nao
Pitia ulicho comment tokea mwanzoni tabia za fisi nikutotazama mkia wake nyie kutwa nikuweweseka na Chadema tu
Naona kwa makusudi kabisa kama ilivyotabia yenu umeamua kuja na kinga ya matusi baada ya kushindwa na hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…