interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,411
Nyie wadada si mnasemaga mwanaume pesa, hata kama hujampenda, kama ana hela, hivyo hivyo unakomaa kama kylln alivokomaa kwa bwana machache kapeace
Kuolewa na anaekupenda sana haimaanishi ye ni malaika na kuna siku mtapishana na atakuonyesha upande mwingine hapo hata aje papa msamaha wa dhati hautapatikanaKuna mwanamke alikua anumia theory yako ameolewa na MTU anayempenda ameishia kumtesa ile mbaya
Ujue mambo ya ya mapenzi ni kama kubet tu maana hata hujui mtu moyoni anawaza nini. Mkeka ukichanika bahati mbaya ukitoka na bingo basi heri
Anapost picha anajifanya anaishi masaki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]....zile za kwenye garden haaahaaa[emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ni Balaa, Mwanamke mlalamishi, mwanamke anapenda starehe tu. Hafikilii hata kesho itakuwa vpi, Tabia ya kwenda kwenye Vi Studio vya picha na kupiga picha kupost mitandaoni hii ndio imenishinda. Mwanamke ana marafiki kibaooo, ila sio mbaya hao marafiki zake ndo mademu zangu
Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
Ujue mambo ya ya mapenzi ni kama kubet tu maana hata hujui mtu moyoni anawaza nini. Mkeka ukichanika bahati mbaya ukitoka na bingo basi heri
Kwani ukiachwa ndo unakufa??[emoji849][emoji849]....so normal yaan kuliko unavyofikiria!Amaa kweli imebidi ni-like,ujumbe wa mwanamke kwenda kwa wanawake wenzake na msipozisikia hizi jumbe mkijiona makonki sana basi mtaendelea kuachwa hivyo hivyo macho mmeyatoa mbele kukiwa mbali na nyuma kukiwa mbali!
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Hebu shangaa na weweKwani ukiachwa ndo unakufa??[emoji849][emoji849]....so normal yaan kuliko unavyofikiria!
Kuna vichwa vya wanawake wengine wanawaza watoboe vipi hili life rather than mapensi ( in Sarah harmonize voice
Sent using Jamii Forums mobile app
Anapost picha anajifanya anaishi masaki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]....zile za kwenye garden haaahaaa
Mademu wa hivo noma sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mtupu tunajichosha na wakaka ambao hawana mpango nasi , wakti kuna watu wa true love ,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa yaani tujipangeHeb jipangeni upya hamjachelewa kabisa
Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
Haaaahaaaa [emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787] [emoji1787]...na kitu kimoja mnakosea sana wanaume!Yani nilikuwa sipend kinoma, nikaona kwa indicator hiyo siwezi kufika nae popote.
Unajua nn witness, wanawake/ wasichana wa siku hizi wanakosa charactor moja ya "Wife" na hii kitu ni muhimu sana kwa mwanamume ambae anataka kuoa.
Kama mwanamke atashindwa ku demostrate hii character basi ana posibility ndogo sana ya kuolewa.
Ukisikia kila mwanaume anasema natafuta "Wife material" hii kitu ni muhimu sana sema huwa hamjui tuu
Sasa unakuta upo na mwanamke yeye kakaa ki starehe starehe tuu yani hata kuwa mama watoto hawezi
Basi ndio ivo as usual tunaongeza milage akafie kwa mtu mwingine huko
Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
Odds si ziko upande wako lakini? Sijui hiyo term ndio huwa inatumika hivyo tehDada umetisha, kuna mkeka nataka kuusuka humu JF, naomba Mungu usichanike.
1: 1000 kila mwanamke anataka kuolewa. Kwa resho iyo labda mmoja ndio ana mambo yajmke. Tena labda anaumwaHaaaahaaaa [emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787] [emoji1787]...na kitu kimoja mnakosea sana wanaume!
Kutokuolewa sio mwisho wa maisha asee!
Kuna wanawake wana priorities kibao humu duniani waweza shangaa!
So mwanaume usikariri life la mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwasemelee wanawake asee!..we ni mwanaume eti[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] 1: 1000 kila mwanamke anataka kuolewa. Kwa resho iyo labda mmoja ndio ana mambo yajmke. Tena labda anaumwa
Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
Haha kuna mtu alileta uzi humu akidai ameshindwa kumpenda mume wake alidhani atampenda mbele ya safari plus pressure za ndugu jamaa na marafiki akajikuta anaolewa sasa yamemfika hapa ....wee watu walimchamba akachambika, ooh kwa nini uliolewa naye, ulikuwa separate, mara ulifuata pesa, wengine ooh ungemwacha kaka wa watu angekutana na anayempenda we ulijipeleka kufanya nini na mtu humpendi? Mradi tafrani. Leo wamegeuka ukiona mtu anakupenda we hata kama humpendi olewa tu...mtutue jamani life is too shortHuu ndo ujumbe wenyewe sasa sikuwa nimeuona
Usiigiliziane aina ya mahusiano .....mbona fulani ilikuwa hivi na alifanikiwa ...fulani aliolewa na anaempenda akateseka sana....kama kubet tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yu havu a pointi mkuu