Haaaahaaaa....hakukudharau ila kuna kitu akikifikiria kuhusu wewe ilibidi achekee tuu[emoji16][emoji16]...kitu gani mi na wewe hatujui!Nilifikiria mengi saana.
Sikupata jibu. Labda ananidharau, hatuendani, amefurahia kutongozwa, aliniona kituko...
Utawaweza hawa malaika sasa[emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....we mshenzi kwa kuponda hujambo!!?
Ana tabia gani huyo manzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inaonekana haya matusi ya ma single mom ni kichomi kwako
Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
Utaweza tu
Tehteh....Kuna mkaka mubaya wa sura ila anazo kidogo sio mbaya nikamkataa akaja kupata kimwana haswa we akamweka safi na mambo yao ndio hayo akanza kupendeza saa ngapi namezea mate tu nashusha na maji minasema maisha nipopote
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mwanamke nilishawahi kumtongoza akacheka. Eti
Hahaha. Hadi na leo sijamsahau. Imagine unamtongoza mtu upo serious kabisa umejilamba midomo na kusuuza sauti kisha anaishia kucheka eti hahahaha.
Kwenye maisha sio kila kitu lazima upitie wewe unaweza jifunza kwa wengine pia mkuuMkuu inaonesha una ushuhuda katika hilii
Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaforce kinoma, na watu nao full kunipa presha kama zote!
Eti ntajuta mbele kupoteza upendo kiwango kile, coz siku hizi wanaume wa hivi hamna tena....[emoji848]
Anyway life goes on....
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaahaaaa....hakukudharau ila kuna kitu akikifikiria kuhusu wewe ilibidi achekee tuu[emoji16][emoji16]...kitu gani mi na wewe hatujui!
But ungemuuliza why anakucheka!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo hayuko serious to begin with au anatafuta confidenceIla kuna wadada mnamajibu mabaya aseeh. Kweli mtu unatongozwa unacheka?
Sasa unanichukuliaje poa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una matukio[emoji134][emoji134][emoji134]
Hata mi nishawahi kucheka jamani, yaani unajua ile unamchukulia mtu poa alafu eti anajifanya yuko serious anakutongoza[emoji849][emoji849] walah lazima cheko litoke[emoji85]
Daah.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo hayuko serious to begin with au anatafuta confidence
hivi haiwezekani kujifunza kumpenda mtu?Ujue kapeace ishu iko hivi...we unayempenda yy hakupendi na anayekupenda kwa dhati we humpendi.....sijui why hii ishu asee[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuta nakufahamu vizuri tu ulivyo chitombi maybe, alafu ulete hizo story!! Lazima uonekane kituko.Sasa unanichukuliaje poa?
Hiyo poa ndiyo ipoje? Na inasababishwa na nini?
Tatizo wanawake wengi mnachukulia mahusiano ya kimapenzi serious saana.Unakuta nakufahamu vizuri tu ulivyo chitombi maybe, alafu ulete hizo story!! Lazima uonekane kituko.
Inawezekana kwa baadhi ya watu lakini kwa wengine haiwezekanihivi haiwezekani kujifunza kumpenda mtu?
this is deep.Mtu kama humpendi hutamsamehe akikuosea
Hutamvumilia katika magumu yake ugonjwa uchumi nk
Hutafurahia nae tendo la ndoa utatoka nje kumtafuta wa kukufurahisha
Utaishi kinafiki sana usoni tabasamu huku moyoni ni majuto na kilio
Hizo ni hasara nazoziona....
Sent using Jamii Forums mobile app