Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,534
Hahaha mzee baba huyo kisampido alikufanyeje...hebu funguka!
Sio lazima aww maskini sio lazimaShida ni kwamba utajuaje kama huyo anayedai anakupenda yupo real na wewe? Nimesikia eti Upendo wa maskini hauaminikagi 100% teh teh. Mtu anaweza akawa anakomaa na wewe as choices zake anazozitaka zinamkataa kisa hana hela; you are what is available kwa muda huo. Siku akipata hela ndo anaanza wewe sio wa hadhi yangu blah blah. So wadada hawataki hizo shida za kupanda na wewe juani; muda wa kula kivulini unaenda kula na wa hadhi zako.
Afu kuwa maskini doesn't make you a perfect partner, sio kila mtu anaweza kukuchukulia weakness zako; so mtu akikukataa shukuru tu.
Hahaha yule manzi anaishi maeneo ya karibu yangu.. mi nko na wife na katoto ketu ka kiume (kamanda).. yy kesha choka.. lkn ukweli nilitaka kumuoa kabisa.. nilimpenda yy na familia yake na nilijipa matumaini ila alinidharau na sio tu sababu ya yule boya hata majibu ya kiwaki afu mi muhuni nifall mazima kwake yule afande alikuwa anajipigia kisa magwanda yake.. nkasema najipa miaka 6 tu nampita yule mtu.. hahahah huwezi amini yule manzi now hana hili wala lile na yule jamaa yake ananifungulia geti job huku nikienda mpelekea yule manzi yake TOTO AFYA KADI... MUHIMU ni kwamba wanaume wako wa AINA MBILI TU.. Wale ambao wakikutongoza hupenda sana wasumbuliwe kiasi na wale ambao hawapendi hizo drama.. Mwanaume akitaka kukuoa wala hajifichi na huo ndio ukweli...Yani unamaanisha alikukataa kisa alikuwa na mtu mwingine?. Me nafikiri alikuwa sawa tu kukukatalia as alikuwa anayaheshimu mahusiano yake. Tatizo mtu ukiwa huna hela, basi unakuwa insecure; ukitongoza unataka tu ukubaliwe otherwise unahisi umekataliwa kisa huna chapaa. Huwezi kukubaliwa na kila mtu jamani
Mdada alikuwa faithful; unfortunately moyo wa mtu ni kiza kinene; hakujua mwenzie anamuwazia nini. Inawezekana angemzingua huyo jamaa afu akakukubalia wewe; na still usimuoe ukaishia kumfanya single mom au mkaachana tu
Afu what exactly do you guys want? Tukisema tukomae kuwa loyal na nyie; tukatae wa pembeni; tukiachika baadaye mnatusonya. Utajisikiaje uwe na baby afu akuache tu akaolewe na mwingine? Eeeh utakavyo laani sasa na kumuombea mabaya. The girl did the right thing at that time and possibly kwa muda huo mahusiano yalikuwa ana afya kabisa.Ni vile tu hatujuagi kesho zetu zitakuwaje na pia waoaji hawana alama; otherwise tusingepotezaga muda kwa watu wasio na future na sisi
Hahaha sasa ubaya huko kivulini unapotaka kuanza kulia bila kujua mtu kahuslte vipi lazma kuambatane na manyanyaso! Mbaya zaidi ni kutafunwa na kutemwa kama Big G
iam sure siku akikataa tamaa utarealize kwamba he deserves you kwa kiasi flani hapo ndo utaona moyo ulivyokuwa wa ajabu its like ulikuwa umeficha feelings zako kwake ...talking from experience yangu binafsi ....lakini that doesnt mean na wewe itakutokeaYaaan imebaki namuonea huruma huyu kaka asee!
Mwanzo nilikuwa nakuwa mkali kwake, but nikaja kugundua kuwa nakosea, bora niwe mpole asee, yaan namkataa kistarabu sio kimatusi kama mwanzo!
Thanx God hayumo humu JF maana angenisoma angejisikia vibaya!
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooops...means itakuwa too late or?iam sure siku akikataa tamaa utarealize kwamba he deserves you kwa kiasi flani hapo ndo utaona moyo ulivyokuwa wa ajabu its like ulikuwa umeficha feelings zako kwake ...talking from experience yangu binafsi ....lakini that doesnt mean na wewe itakutokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha yule manzi anaishi maeneo ya karibu yangu.. mi nko na wife na katoto ketu ka kiume (kamanda).. yy kesha choka.. lkn ukweli nilitaka kumuoa kabisa.. nilimpenda yy na familia yake na nilijipa matumaini ila alinidharau na sio tu sababu ya yule boya hata majibu ya kiwaki afu mi muhuni nifall mazima kwake yule afande alikuwa anajipigia kisa magwanda yake.. nkasema najipa miaka 6 tu nampita yule mtu.. hahahah huwezi amini yule manzi now hana hili wala lile na yule jamaa yake ananifungulia geti job huku nikienda mpelekea yule manzi yake TOTO AFYA KADI... MUHIMU ni kwamba wanaume wako wa AINA MBILI TU.. Wale ambao wakikutongoza hupenda sana wasumbuliwe kiasi na wale ambao hawapendi hizo drama.. Mwanaume akitaka kukuoa wala hajifichi na huo ndio ukweli...
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa tafsiri ya kawaida nidharau hawa majuto yao ndo worseKuna mwanamke nilishawahi kumtongoza akacheka. Eti
Hahaha. Hadi na leo sijamsahau. Imagine unamtongoza mtu upo serious kabisa umejilamba midomo na kusuuza sauti kisha anaishia kucheka eti hahahaha.
Point[emoji122]Haipo hivyo wakati wote. Kwenye haya maisha omba tu upate mtu mwenye "utu". Kuna mtu ni maskini and yet hana utu. Afu hujawahi ona mtu mnaanzia chini wote ila mkifanikiwa, vitu anavifanya vya kwake peke yake. Mna gari ila hadi kulipanda ni uwe umezidiwa unakimbizwa hospital. Sio matajiri wote ni wanyanyasaji; tena naonaga ni rahisi kumgundua tajiri mnyanyasaji kuliko maskini ambaye kukosa pesa kunamnyamazisha kidogo
huezi jua mpaka mda wenyewe the worse thing ni kujikomba kwamtu ambaye alikuwa anajikomba kwako endless hiyo experience sio poa aisee
Huyo jamaa kanichekesha mbaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...si kwa kusaga hivo mweeHahaha mzee baba huyo kisampido alikufanyeje...hebu funguka!
huezi jua mpaka mda wenyewe the worse thing ni kujikomba kwamtu ambaye alikuwa anajikomba kwako endless hiyo experience sio poa aisee
Hapana kwa sasa hivi na ishu zangu flani...zimenibananisha sina hata mudakama upo free jaribu ila weka nia ndani yake
Kabisa mkuu..huezi jua mpaka mda wenyewe the worse thing ni kujikomba kwamtu ambaye alikuwa anajikomba kwako endless hiyo experience sio poa aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu bado nipo mdogo mpaka sasa naamini mapenzi(hisia)yanajengwa. .ni suala la saikolojia kuamua kupenda au vice versa.Kuolewa na mtu usiempenda unajitesa wewe na utamtesa yeye.....sishauri hili kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapoint kabisaTangu bado nipo mdogo mpaka sasa naamini mapenzi(hisia)yanajengwa. .ni suala la saikolojia kuamua kupenda au vice versa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah...umenifungua kitu hapa!I'm speaking from experience pia; unaweza usijute chochote. Ilishawahi nitokea; nilikuwa namuonea tu huruma yule mkaka; ila nikasema kuliko kumkubalia kwa huruma afu nije nimuumize; bora nimkatae tu aumie now ila huko mbeleni Mungu anaweza mpa wa kufanana naye. He was there hata kabla sijaanza kudate, all the heart breaks i went through before, hamna hata siku moja niliyosema i wish nirudi kwake na alikuwa single bado. So ukisema moyo kugoma; me nakuelewa vizuri. Kama unashindwa kujifunza kumpenda huku nje; huko ndoani utalia na kujionea huruma.
Mmh kivip??[emoji849][emoji849]Tangu bado nipo mdogo mpaka sasa naamini mapenzi(hisia)yanajengwa. .ni suala la saikolojia kuamua kupenda au vice versa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anyway tangu nimeifahamu I'd yako leo umeongea point. .Kumbe zimo enhe??Bravoo