Yukowapi Pedegee Fred Rwegasira

Yukowapi Pedegee Fred Rwegasira

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
18,014
Reaction score
28,128
Huyu jamaa Fred Rwegasira alisumbua sana kunako miaka ya 1990's alipokuwa anamiliki ukumbi wa Silent Inn, na bendi ya Dar es Salaam Ikibinda Nkoi. Halafu imasemekana jamaa alikuwa mkali kwa kuwaingiza kinhi wenye pesa zao.
 
Kama sijasahau ni Mcgungaji sasa hivi wa kipentekoste ila sikumbuki jina la kanisa lake. Alishawahi kuhojiwa wakati fulani kwenye ATN kipindi cha this is my story.
 
Silent inn hata ilipokuwa sipakumbuki tena...Chris Burg pia pale ilipokuwa sikumbuki tena...that is what change could do in our lives...in the span of 10 years mambo mengi yamebadilika kabisa.
 
Kwa hiyo wakisha piha hela kwa watu nsiyo wanapata upako. Si ajabu na akina Papa Msofe watakujafungua malanisa yao
 
Kama sijasahau ni Mcgungaji sasa hivi wa kipentekoste ila sikumbuki jina la kanisa lake. Alishawahi kuhojiwa wakati fulani kwenye ATN kipindi cha this is my story.
Matapeli huishia kuwa wachungaji
 
Kwa hiyo wakisha piha hela kwa watu nsiyo wanapata upako. Si ajabu na akina Papa Msofe watakujafungua malanisa yao
Ndivyo inavyotakiwa...hapo utakuwa na uhakika na usalama wako na kuendelea kula sadaka na kondoo kiulaini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom