MANUU MANGI
Member
- Apr 4, 2017
- 36
- 68
Kuna Trafic mmoja alikamata sana jiji la Dar hasa kwenye makutano ya barabara za Mwenge,Bamaga na Sayansi kwa staili yake ya kuongoza magari hasa nyakati za asubuhi na jioni.
Wengi walifurahia namna alivokuwa anaonyesha namna gani anapenda kazi yake kwa jinsi alivokuwa anayaita magari kwa mbwembwe nyingi sana kipindi cha mwanzoni mwa mwaka jana mpaka mwanzoni mwa mwaka huu.
Mimi ni mtumiaji wa barabara hizo lakini kwa kipindi kirefu sijamuona traffic huyu. Je, yuko wapi?
Binafsi nmemiss kuona mbwembwe zake akiongoza magari.
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app