Yuko wapi Wilson Mkama?

Noti mpya tz

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
974
244
Huyu jamaa alipewa kazi ya ktk chama cha Magamba akaja na mkakati uliomweka yeye madarakni kama katibu mkuu ya chama na baada ya kupata nafasi hiyo akishirikiana na Nape nauya walisimamia kuhakikisha kuwa mapacha watatu wanaondolewa ktk chama, kwa sasa simsikii tena huyu mtu, Yuko wapi???
 
Is no more.........ccm itakufa vyovyote vile...kwa sauti au kimya kimya...kikwete is no more, msekwa is no more, ccm is no more, nape is no more..........kikwete,ccm na mafisai wameuza nchi kwa bei rahisi sana....watu w3amekuwa wakimbizi ndanio 7ya nchi yao wenyewwe....ajabu kweli kweli
 
Huyu jamaa alipewa kazi ya ktk chama cha Magamba akaja na mkakati uliomweka yeye madarakni kama katibu mkuu ya chama na baada ya kupata nafasi hiyo akishirikiana na Nape nauya walisimamia kuhakikisha kuwa mapacha watatu wanaondolewa ktk chama, kwa sasa simsikii tena huyu mtu, Yuko wapi???

Ukiona kobe kainama anatunga sheria, kimya kingi kina mshindo. Ninamkubali kwa sababu si mkurupukaji na mtu wakuuza sura kwenye media ni mtu wa strategies.
 
anataka kuomba uanachama CHADEMA mapemaa, kashtuka ile merikebu imeanza kuchota maji taraatibu -- ha ha ha ha
 
CCM yote kaachiwa Nape Nauye. Yeye ndiye msemaji mkuu wa chama, katibu mkuu, mwenyekiti, afisa habari, kampeni meneja wa Igunga and the list goes on!
 
Yupo tu huyu mheshimiwaa pale nanihii ... bado yuko bize anatunga sheria, hila na njia zote chafu unazoweza kuzifikiria ili CCM ikashinde azma za walazwahoi nchini wasiteguke kwenye ndoano hatari ya AZIMIO LA ZANZIBAR iliyopinduliwa malengo yake ya msingi nchini baada ya lile AZIMIO LA ARUSHA kupigwa teke na Wala-Nchi wetu hawa.

Si unajua tena ndio kichwa pekee kilichobaki pale CCM wakati huyu dogo Nuye ni kama kipaza sauti chao tu kujikimbizisha ovyo na Ugene mitaani kama yule Mvivu Baba yake Okonkwo (Mzee Unoka) kwenye kitabu cha 'Things Fall Apart' ya Chunua Achebe.

Siku hizi vijana wa CCM kama wazee tu!!!

Huyu jamaa alipewa kazi ya ktk chama cha Magamba akaja na mkakati uliomweka yeye madarakni kama katibu mkuu ya chama na baada ya kupata nafasi hiyo akishirikiana na Nape nauya walisimamia kuhakikisha kuwa mapacha watatu wanaondolewa ktk chama, kwa sasa simsikii tena huyu mtu, Yuko wapi???
 
Huyu jamaa alipewa kazi ya ktk chama cha Magamba akaja na mkakati uliomweka yeye madarakni kama katibu mkuu ya chama na baada ya kupata nafasi hiyo akishirikiana na Nape nauya walisimamia kuhakikisha kuwa mapacha watatu wanaondolewa ktk chama, kwa sasa simsikii tena huyu mtu, Yuko wapi???

Nadhani huyo mzee ni mstafuu anapaswa kupumzika hata sijui kwanini CCM inapenda kusumbua hao wazee waliostafuu badala ya kuwacha wale pension zao kwa starehe.
 
Alishakana kuwa CCM hakuna MAFISADI nawala hawakumaanisha kuwafukuza isipokuwa RACHEL wajipime wenyewe wakitaka waachie ngazi wakiona noumer waendelee tu na nyadhifa zao. Hata hizo siku tisini alizikana kabisa, sasa ngoja tusubiri uchaguzi ndani ya CCM mbivu na mbichi zitajulikana.
 
Huyu Mzee alikuja akiwa na Mategemeo makubwa sana kwamba anaweza kuibadili CCM kutoka hapo ilipo. Mpaka sasa amepigwa na butwaa, yote aliyoyategemea kama support kutoka kwa Mkweree vimeyeyuka. Mpaka sasa bado haamini kama kweli Mkweree ni kigeugeu hivi! Zile ndoto zake kwishney!
Cheza na Mkweree wewe!
 
Asante masaki, nimeipenda hiyon tena sana! Nape ni kila kitu ndani ya ssm na kumbuka alikataliwa siku za nyuma!ya magamba mwachie fisadi!
 
yupo busy kuchapisha kura za ziada iwapo ccm itaelemewe kwenye uchaguzi ujao ili waongezee, siunajua magamba. But all in all ccm have to die very soon.
 
Wilson Mukama is having a very hard time as Secretary General of ccm simply becaue he does not have the moral authority of cleansing the party of corrupt members let alone its leadership! Remember the controversial tender awarded to the family of a ccm stalwart member to collect different fees at Ubungo bus terminal? It was awarded to the said family by Mukama during his tenure at Dar es salaam city council; the family made millions at the expense of the development of Dar residents and Mukama for his part was awarded a promotion to become a permanent secretary and later recalled out of retirement to be appointed as SG of ccm. He is in a predicament because he also has ties to the Mahanga/Masaburi ccm Mafia which renders him impotent!
 
Mzee mukama tuko nae hapa kaunta Q bar na yeye anavizia mizoga ya foleni kudadeki
 
Wilson Mukama is having a very hard time as Secretary General of ccm simply becaue he does not have the moral authority of cleansing the party of corrupt members let alone its leadership! Remember the controversial tender awarded to the family of a ccm stalwart member to collect different fees at Ubungo bus terminal? It was awarded to the said family by Mukama during his tenure at Dar es salaam city council; the family made millions at the expense of the development of Dar residents and Mukama for his part was awarded a promotion to become a permanent secretary and later recalled out of retirement to be appointed as SG of ccm. He is in a predicament because he also has ties to the Mahanga/Masaburi ccm Mafia which renders him impotent!
<br />
<br />
Ndinani your comment is profoundly impressive. Very precise and to the point, no ifs and no buts. Your articulate elaboration of this one scandal that obviously haunts Mukama and ties his hands is accurate and to the point. I concur with you and commend your perception.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom