Hii thread asije tu kuiona yule dalali wa rasilimali za taifa aka tumbili atakuja na andiko la page kumi kupongeza chura kiziwi alivyowezesha vijana wa kitanzania milioni kumi kujiajiri kupitia BBT ikiambatana na mapambio, nyimbo za kusifu na kuabudu kede wa kede.