Yuko wapi wa kuvaa viatu vya Ruge?

Duh...tuko dunia ya mapambano.. The end justifies the means..!
 
Uandishi ni sanaa inategemea unaitumia vipi... Ruge ni indicator, Mond ni headlight..Harmo ni dim.. Je umepata picha?
 
Ruge alihusikaje kwenye maigizo?
 
Maisha ni mapambamo.. Its survival of the fittest..dunia haina huruma japo ulimwengu ni shujaa kwakuwa hatimaye ukitoboa utasifiwa ..ukisubiri huruma utachekwa
 

Ni kweli Mkuu ndiyo maana tunaona toka Rubby alipojitoa kwa Ruge amezidi kung’aa, na hivi Ruge kafariki so hawezi kubaniwa popote basi kazidi kufanikiwa sana sana sio Ruby yule...si ndiyo ehee.

Na yule Nandy aliekuwa anabebwa ndiyo kaporomoka hata hasikiki
 
Comment yako imeongea mengi kwa mistari michache.
 
Uwa ni maneno ya watu tu ndugu. Kuna siku nilimsikia chidbenz tena mwaka jana akihojiwa kipindi kile wakati anadai efm walitaka aperform kwa 50000. Katika hiyo interview alisema kati ya makampuni yanayolipa vizuri ni clouds. Alisema ilikuwa inatokea malipo yanachelewa baada ya fiesta ila walikuwa wanalipa vizuri.
 
Huwezi kuona thamani ya kitu mpaka siku ukikose!

Wako wapi wasanii wale waliopiga kelele kuwa wanashindwa kung'ara kwakuwa marehemu Ruge alikuwa anawanyonya? Wengi nawaona wakiwa na hali mbaya kuliko hata kipindi cha kunyonywa na marehemu.
Bro na ww ni chawa wa Mond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…