Yuko Wapi Tanzagiza wa (Fb)?

Yuko Wapi Tanzagiza wa (Fb)?

Aisee hata mimi sijaona hiyo page siku za hivi karibuni..
 
hii page nadhan ilikuwa inamilikiwa na ben saa nane,,, baada ya kupotea yy na page ikawa kimy
 
Salute.

Kuna Mtanzania alikuwa anatumia account ya Tanzagiza (Fb) ni kipindi sasa hajawahi kutupia kitu chochote zaidi ile account vijana wa chama Fulani wanaitumia sana kupost vitu vyao.

Hofu yangu ni kuwa kwa sababu mwenye account ile alikuwa hajulikani kwa majina harisi anaweza kuwa alishadukuliwa na wasiojulikana na kisha kufanyiwa yasiyojulikana.
mkiona page inatupa mawe mnaifuatilia kwa wingi.ikipotea hamuachi kuuliza imepotelea wapi? Mbona kuna memba kibao humu ni maarufu lakini siku hizi hawaonekani.
 
Kuna wakati unafika mtu anakuwa anaachana na utoto wa FB jamaa kashajua sio salama kule kaacha atakuwa ni member mzuri huku sasa
 
Mm huwa nina wasiwasi kwamba huenda admin wa ile page alikuwa Roma Mkatolik, maana baada ya kutekwa ndio ile page ikapotea na mpaka leo kika mtu anajiuliza Roma alitekwa kwa kosa gani?
 
katika page zilizokimbiza mbaya wakati wa kampeni ni hii ya tanzagiza. sasa hivi serikali imemmbakisha mange kimambi_ tu. alicho feli Tanzagiza ni kujipa uADMIN peke yake badala ya kutoa admins wengine kama 3 hiv na strong passwords zinazodai factor two authentication.
 
Salute.

Kuna Mtanzania alikuwa anatumia account ya Tanzagiza (Fb) ni kipindi sasa hajawahi kutupia kitu chochote zaidi ile account vijana wa chama Fulani wanaitumia sana kupost vitu vyao.

Hofu yangu ni kuwa kwa sababu mwenye account ile alikuwa hajulikani kwa majina harisi anaweza kuwa alishadukuliwa na wasiojulikana na kisha kufanyiwa yasiyojulikana.
Atakua kaenda Zimbabwe na mkatoliki
 
Back
Top Bottom