Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,016
Aisee.... unajidhalilisha kiongozi...sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;
Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.
Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
Wakusudia kusema kwamba kanyamazishwa na Mange?sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;
Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.
Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
Jumlisha matusi na taarabu za kibajajy cha mteraMimi sijawahi kuona kiongozi wa CCM asiyetowa au kushangiria matusi yanapotolewa! Eg. Mafala, wapumbavu, vinyago, kamuoneshe mkeo etc
Na mange balaa, yaan maandamano tunayajua wenye smart phone tu lakini nchi imeyumba, itakuaje wakijua na wasio na smart phone?Yuko bize anamtengeneza mange Kimambi
Kama risasi ya akwilin vile, dua ya sheikh nayo imekata kona ikamrudia mwenyewe, kawa kimya yeye badala ya mange.Mbona kimya hivi Sheikh Mkuu wa BAKWATA Dar? Ni kipindi kirefu hatujasikia matamko yake. Kipindi hiki ambacho tumekuwa na sintofahamu kuhusu usalama na amani ya nchi kwa hakika alivyokuwa msemaji sana hangenyamaza bila kutoa kauli.
Imekuwaje?
Kumbe Mange yupo ulaya?! Nilikua sijui..!!sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;
Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.
Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
Hopeless and the utter nonsense.sijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;
Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.
Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??
Acha tu ustazi apumzike! Lile timbwili alilokutana nalo sio la mchezo!Mbona kimya hivi Sheikh Mkuu wa BAKWATA Dar? Ni kipindi kirefu hatujasikia matamko yake. Kipindi hiki ambacho tumekuwa na sintofahamu kuhusu usalama na amani ya nchi kwa hakika alivyokuwa msemaji sana hangenyamaza bila kutoa kauli.
Imekuwaje?
Hakuna cheo cha Sheikh Mkuu wa Mkoa, bali kuna Sheikh wa Mkoa. Sheikh Mkuu ni mmoja tu MUFTIMbona kimya hivi Sheikh Mkuu wa BAKWATA Dar? Ni kipindi kirefu hatujasikia matamko yake. Kipindi hiki ambacho tumekuwa na sintofahamu kuhusu usalama na amani ya nchi kwa hakika alivyokuwa msemaji sana hangenyamaza bila kutoa kauli.
Imekuwaje?
Kiongozi yupi wa dini ulishawahi kumsikia akimkemea? Kama wanaomkemea ni wa fisiemu peke yao... dada yangu nakushauri kesho usisahau kubeba pedi... tarehe zako zimeshafikasijawahi kusikia kiongozi yeyote wa upinzani akikemea matusi ya Yule bidada wa ulaya;
Au kuna faida wanayoipata kutokana na hiyo matusi.
Inamaana upinzani wanategemea matusi ili kuingia ikulu??