dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,806
- 61,664
alipotea baada ya BASATA kupiga mkwara kwamba akisikika kwa media yoyote, hiyo media itafungiwa chapHuyu Konki Masta mwenyewe yuko wapi siku hizi?
alipotea baada ya BASATA kupiga mkwara kwamba akisikika kwa media yoyote, hiyo media itafungiwa chapHuyu Konki Masta mwenyewe yuko wapi siku hizi?
Zile tuhuma za Konki Master vipi mkuu?. Fafanua.Hongera! Uzi mzuri sana.
Nini lilikuwa KosA lake ?alipotea baada ya BASATA kupiga mkwara kwamba akisikika kwa media yoyote, hiyo media itafungiwa chap