Yuko wapi RPC nguli Ramadhani Kingai?

Huyu atakuwa ni Mnyika bhana! Wasambaa hatunaga tabia za kindezi kama zake. Ukatili na Wasambaa wapi na wapi!

Lawama zote ziende kwa huyo Mzee Makamba kwa kutuletea majanga ndani ya jeshi la polisi.
 
Kitu cha kusikitisha sijui kwanininbado DPP haja waona kina Kingai na genge lake kama ni wahuni tuu kama wale polisi wenzao majambazi kule Lindi.
 
Daaaaa
 
Ndie IGP ajae wa kuwapa ushindi ccm 2025
 
Ameyakoroga inabidi ayanywe, Kibatala na jopo lake lilimtoa nock out kahenyeshwa vibaya na bado Luteni Urio yamemfika shingoni sembuse Kingai
 
Anajiandaa kurithi mikoba ya IGP, CDM kaeni mkao wa kula - Pilau lipo njiani.
 
Mtafutie eneo lake la kazi utamkuta.
 
Malipo hapa hapa dunian kama anawez kumushudia uongo binadam mwenzie ili yamupate mabaya ipo siku yatamurudia na yy
 
Ukifatilia vizuri hawa jamaa walikuwa wanatembea nchi nzima mikoa yote maeneo yote. Wanaweza kuingui makao makuu yote ya polisi walikuwa wanaingia bila kuhojiwa.

Walitumia magari matatu hadi manne kwa nayakati tofauti. Land cruiser ku drive mikoa yote sio bajeti ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…