Yuko wapi RPC nguli Ramadhani Kingai?

Alipigwa spana takatifu akaomba poo kwenda kujojoa kupunguza bia alizokunywa usiku kabla ya kesi pale sinza kumekucha!
😁😁😁😁
 
Ameenda ku-repair damage
 
Aibu sana.... Nafikri hata vijana waliopo chini yake wanakosa la kusema tu.... Ila anajua wanamuona kilaza sana....

Hajatofautiana sana na Urio....

Halafu komandoo kutoa ushahidi kizembe hivi,,, siku vita imetukuta akibanwa kidogo tu si ndio ataongea yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…