Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,126
- 9,608
Jamaa amejijengea chuki kubwa SanaMi nilitaka kufurahi kuwa MUNGU amemchukua
Jamaa amejijengea chuki kubwa Sana
Msahahara wa dhambi ni mautiJamaa amejijengea chuki kubwa Sana
Baada ya Kibatala na Mallya kumzima saa hivi anafikiria kuja ki vingineHuyu RPC, siku hizi simuoni na amekuwa kimya Sana sijui kwanini. Mara ya mwisho nilimuona mahakamani akitoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe, ni shahidi aliyebanwa vilivyo na kutamani kukimbia kizimbani.
RPC huyo ndo alimuambia Mbowe kuwa " safari hii hutoki'" Ila kwa jinsi kesi inavyoenda najua Kingai anajuta kujiusisha na hii kesi, na amepotea kabisa kwenye media, japo Niko Dar na kila siku naenda mahakamani, lakini huyu RPC amepotea hatumuoni Kama mwanzoni alivyokuwa mstari wa mbele kwenye kesi ya Mbowe
Yupo wapi Kingai
Walimpiga spana hatrBaada ya kibatala na mallya kumzima saa hivi anafikiria kuja ki vingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila raheri kwake,Mahita, Jumanne na GoodluckAnakula kuku na kiyoyozi Hoysterbay Police
ATAMCHUKUA TUMi nilitaka kufurahi kuwa MUNGU amemchukua
Ni mjinga ns
Yaani kundi lote lilipata promotion kupitia kesi ya mchongo! Aibu kubwa sana hii kwa walio wapandisha vyeo hawa jamaa.Kila raheri kwake,Mahita, Jumanne na Goodluck
Pale Oyster Bay police ng'ambo ya barabara kwenye mabustani ya Minchinhampton kuna qHuyu RPC, siku hizi simuoni na amekuwa kimya Sana sijui kwanini. Mara ya mwisho nilimuona mahakamani akitoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe, ni shahidi aliyebanwa vilivyo na kutamani kukimbia kizimbani.
RPC huyo ndo alimuambia Mbowe kuwa " safari hii hutoki'" Ila kwa jinsi kesi inavyoenda najua Kingai anajuta kujiusisha na hii kesi, na amepotea kabisa kwenye media, japo Niko Dar na kila siku naenda mahakamani, lakini huyu RPC amepotea hatumuoni Kama mwanzoni alivyokuwa mstari wa mbele kwenye kesi ya Mbowe
Yupo wapi Kingai
Kwa huyu isingekuwa R.I.P baliJamaa amejijengea chuki kubwa Sana
Juzi alikuwepo upande wa pili wa road kwenye ile gereji anarekebisha kigari Fulani hiviPale Oyster Bay police ng'ambo ya barabara kwenye mabustani ya Minchinhampton kuna q
Kwenye anga zake za ubumbaji?Huyu jamaa nilianza kumfahamu alivyokuwa RCO Pwani.
Very serious guy.
Hana mzaha aisee.
Usishangae hata Luten Urio akawa promoted kuwa captain, nchi ya ovyo kuliko zote toka Yesu amepaa.Yaani kundi lote lilipata promotion kupitia kesi ya mchongo! Aibu kubwa sana hii kwa walio wapandisha vyeo hawa jamaa.
Kumbe kibaka tuHuyu jamaa nilianza kumfahamu alivyokuwa RCO Pwani.
Very serious guy.
Hana mzaha aisee.
Mungu anamwona!Huyu RPC, siku hizi simuoni na amekuwa kimya Sana sijui kwanini. Mara ya mwisho nilimuona mahakamani akitoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe, ni shahidi aliyebanwa vilivyo na kutamani kukimbia kizimbani.