... ni uzushi Mzee! Relax.embu achen hizo stori.mi nimeagizia mzigo china usije kukwama
Akili kubwa hiiPANAPOFUKA MOSHI PANAFICHA MOTO
There is no place for life Presidency in the current world. Leaders have to lead and learn when to come in and when to leave ili heshima ibakie.
History has taught us several times that when you overstay, your exit shall not be a pleasant one. Kiongozi yoyote makini anapokuwa kiongozi tokea siku ya kwanza lazima atambue kwamba baada ya muda atatoka tuu na hivyo ni busara kuanzia siku ya kwanza atayarishe exit plan iliyo thabiti. Aongoze kwa busara na upendo bila kuonea watu. Asipofanya hivyo ajue ipo siku hicho kiti hakitakuwa chake na what goes around comes around.
Kama hadi Xi anachomolewa kinyemela hivyo mchana kweupe, na waangalia jirani zetu kina museveni, na PK wakijiandalia makazi ya milele huko ikulu. They have refused to learn from the history.
That's why Mwl. NYERERE, WILL FOREVER REMAIN THE GREATEST AFRICAN LEADER OF ALL TIME.
Lakini mkuu umeona sura la kutisha la general li Qiaoming japokuwa watakuwa wana furahi lakini sura la General linatishia amani kabisa anaoneka hana utani kabisa😄.Hii story japo ya kizushi ila ya moto, kama namuona Biden na US wanavyotamani iwe kweli.
Kapinduliwa mkuu na sasa hakuna kinachotokaembu achen hizo stori.mi nimeagizia mzigo china usije kukwama
Mwalimu 1961-1985PANAPOFUKA MOSHI PANAFICHA MOTO
There is no place for life Presidency in the current world. Leaders have to lead and learn when to come in and when to leave ili heshima ibakie.
History has taught us several times that when you overstay, your exit shall not be a pleasant one. Kiongozi yoyote makini anapokuwa kiongozi tokea siku ya kwanza lazima atambue kwamba baada ya muda atatoka tuu na hivyo ni busara kuanzia siku ya kwanza atayarishe exit plan iliyo thabiti. Aongoze kwa busara na upendo bila kuonea watu. Asipofanya hivyo ajue ipo siku hicho kiti hakitakuwa chake na what goes around comes around.
Kama hadi Xi anachomolewa kinyemela hivyo mchana kweupe, na waangalia jirani zetu kina museveni, na PK wakijiandalia makazi ya milele huko ikulu. They have refused to learn from the history.
That's why Mwl. NYERERE, WILL FOREVER REMAIN THE GREATEST AFRICAN LEADER OF ALL TIME.
Ashang'olewa huyo pimbi bado mwenzake anayekimbia na kijificha kama digidigi huku akirecruit walevi WA gongo wa wanzuki kwenda kupigana vita , anataka kuleta ujinga kwenye maslahi ya watu .View attachment 2366778
Xi Jinping huenda kaondolewa kwenye wadhifa wa Mwenyekiti wa Tume ya Kijeshi chini ya kivuli cha mapinduzi ya Kijeshi. Inasemekana kuwa Xi kapinduliwa kijeshi.
Vikosi maalum vya PLA vimekusanyika katika uwanja wa ndege wa Jeshi wa Shenyang chini ya amri ya Li Qiaoming. Xi
Hakuwepo katika semina ya Ulinzi wa Kitaifa na Mageuzi ya Kijeshi iliyofanyika Beijing Septemba 21 baada ya kurejea haraka kutoka kwenye mkutano wa SCO.
Kutokuwepo kwake kuna maelezo mawili tu. Ama hali yake ya kiafya ni mbaya sana, au hayuko tena katika nafasi ya uongozi ya amri jesh mkuu na mwenyekiti wa Tume ya Kijeshi ya China.
Li Qiaoming alihudhuria semina hiyo wakati Xi hayupo akiwa ameketi katikati ya kundi la kushoto katika mstari wa kwanza chini ya jukwaa, karibu na Kamanda wa Jeshi la China Liu Zhenli. Waandishi wengi wa mitandao ya kijamii wa China wamesema Xi amewekwa chini ya kifungo cha nyumbani baada ya wazee wa Chama cha Kikomunisti cha China kumuondoa kama mkuu wa Jeshi la Ukombozi la Peoples (PLA).
Li Qiaoming alihudhuria semina hiyo wakati Xi hayupo akiwa ameketi katikati ya kundi la kushoto katika mstari wa kwanza chini ya jukwaa, karibu na Kamanda wa Jeshi la China Liu Zhenli. Waandishi wengi wa mitandao ya kijamii wa China wamesema Xi amewekwa chini ya kifungo cha nyumbani baada ya wazee wa Chama cha Kikomunisti cha China kumuondoa kama mkuu wa Jeshi la Ukombozi la Peoples (PLA).View attachment 2366778
Xi Jinping huenda kaondolewa kwenye wadhifa wa Mwenyekiti wa Tume ya Kijeshi chini ya kivuli cha mapinduzi ya Kijeshi. Inasemekana kuwa Xi kapinduliwa kijeshi.
Vikosi maalum vya PLA vimekusanyika katika uwanja wa ndege wa Jeshi wa Shenyang chini ya amri ya Li Qiaoming. Xi
Hakuwepo katika semina ya Ulinzi wa Kitaifa na Mageuzi ya Kijeshi iliyofanyika Beijing Septemba 21 baada ya kurejea haraka kutoka kwenye mkutano wa SCO.
Kutokuwepo kwake kuna maelezo mawili tu. Ama hali yake ya kiafya ni mbaya sana, au hayuko tena katika nafasi ya uongozi ya amri jesh mkuu na mwenyekiti wa Tume ya Kijeshi ya China.
Li Qiaoming alihudhuria semina hiyo wakati Xi hayupo akiwa ameketi katikati ya kundi la kushoto katika mstari wa kwanza chini ya jukwaa, karibu na Kamanda wa Jeshi la China Liu Zhenli. Waandishi wengi wa mitandao ya kijamii wa China wamesema Xi amewekwa chini ya kifungo cha nyumbani baada ya wazee wa Chama cha Kikomunisti cha China kumuondoa kama mkuu wa Jeshi la Ukombozi la Peoples (PLA).
Jamaa anasura fran hiviLakini mkuu umeona sura la kutisha la general li Qiaoming japokuwa watakuwa wana furahi lakini sura la General linatishia amani kabisa anaoneka hana utani kabisa[emoji1].