mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,704
Wadau nadhani sote tunamjua aliyekuwa Rais wa Zanzibar Salmin Amour.Rais Huyu amekuwa haonekani kwenye shughuli mbalimbali kama Marais Wastaafu wanavyoonekana,ziwe za Chama au Serikali je tatizo ni nini?