Yuko wapi Rais mstaafu Salmini Amour wa Zanzibar?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
2,855
Points
2,000

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
2,855 2,000
Wadau nadhani sote tunamjua aliyekuwa Rais wa Zanzibar Salmin Amour.Rais Huyu amekuwa haonekani kwenye shughuli mbalimbali kama Marais Wastaafu wanavyoonekana,ziwe za Chama au Serikali je tatizo ni nini?
 

Forum statistics

Threads 1,355,856
Members 518,781
Posts 33,121,535
Top