habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
HongeraNiko nae hapa...
Kutakuwa Na sababu si bureAlishajipeperusha mwenyewe
Lolni terrorist saivi
Ukiona umependwa ujue kuna boya kaachwa,,,na ukiona umeachwa ujue kuna mjanja katega tayar!Kutakuwa Na sababu si bure
...unamkumbushaje mtu alielala sasa?.msubiri aamke!Hi, wapendwa nakusalimuni nyote kwa jina LA Mungu muumba mbingu Na dunia, natumai hamjambo hapo mlipo,
Ukiwa umelala, upo kazini nk, nikukumbushe nyuma kidogo kuhusu mpendwa wako mliyependana sana, mliyewekeana ahadi chungu nzima kwamba mtakuwa wote hadi kifo kiwatenganishe, uko nae? yuko wapi sasa? Alikudanganya nini hadi ukamwacha akaenda zake na Unamkumbuka kwa lipi,