Yuko wapi producer q-the don

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,261
9,732
Huyu producer alikuwa mkali sana aligonga ngoma kibao kali hasa za Nako 2 Nako kama mchizi wangu na nyingine.
Pia aligonga kesha kama CNN, na speed 120.
Mara ghafla akapotea na studio aliyokuwa akifanyia kazi ya mmama flani huko mwanza haisikiki tena.
Nani anajua aliko huyu jamaa, alikuwa prod mkali sana
 
Q the Don, kitambo sana. Niliwahi kusikia huyu jamaa ana elimu ya u-pilot, sijui kama nilisikia sawa.
 
Watu wa Maji sana na Cha arusha huwa wapo poa sana,huwa hawana Makuu,
Ila Ukitaka kuipokonya haki yao patachimbika vilivyo!
Kweli mkuu, kuna kipindi alikuwa anasakwa na mmiliki wa kama kawa records coz alikuwa amekuja dsm akanywesha bia aka sign mkataba kama kawa ndipo aligonga ngoma ya story tatu ya jmo.
Saa bia zilivyoisha akarudi mwanza wakawa wanamsaka polis saa nyingine anakimbia studio.
 
Mm nilitaka kujua amba alitengeneza kibao cha roho saba nakupenda hip hop na Waite polis i
 
Mm nilitaka kujua amba alitengeneza kibao cha roho saba nakupenda hip hop na Waite polis i
Ambha now ana deal na gospel ndiye katengeneza album ya ambwene mwakasonge sijui nimempatia jina.
Jamaa alihamishia studio dar na ndiyo ukawa mwisho wa kuvuma.
Alitengeneza track
Hatuendani- Nick wa pili ft bery9
Ile crank ya Ay nimeisahau watu uwa wanadhani waliitengeneza ogopa kumbe ni ambha ila vocal ogopa
Kikao cha family - rama d
maneno - temba
Tonight- yaki
We ni wangu - yaki
Waite polisi - roho saba
nakupenda hip hop - roho saba
Nyimbo zote za hussein machozi zilizohit akiwa tetemesha kama zingatia mrembo, full shangwe kuna mkono wa ambha.
 
Man upo Deep..umenikumbusha mbali those songs are my favorites..
 
Man upo Deep..umenikumbusha mbali those songs are my favorites..
Nilikuwa nafuatilia sana wasanii wake wa iringa kipindi hicho na nilikuwa nakubari touch zake enzi najifanya na mimi music producer wakati hata keyboard sijui kupiga
 
Mara ya mwisho jamaa alikuwa bongo record kwa majani sijui aliendaga wapi tena baada ya pale
Nakumbuka wakawa wako yeye majani na wengine kama wawili wakatengeneza track kadhaa ikiwemo moja ya c pwaa sema nilijua hawatafika mbali kwa trend ya mziki waliokuwa wanajaribu kuutengeneza na soko la bongo tofauti
 
Producer Amba kumbe ndio alitengeneza beat la AY "Mikono juu, kama hufagilii mambo ya kishamba"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom