ngoma kadhaa za Barnaba, Kuna Ile 'nivute kwako' sijui kaimba nanHivi zaidi ya my number 1 hit gani nyingine aliwahi tengeneza?
Nitampata wapi ya diamond , mpak kufikia 2017 shedy clever na Tuddy Thomas ndo walikuwa wametengeneza hit nyingi za diamond kuliko producer mwingineHivi zaidi ya my number 1 hit gani nyingine aliwahi tengeneza?
Rudd au Tuddy?Nitampata wapi ya diamond , mpak kufikia 2017 shedy clever na Rudd Thomas ndo walikuwa wametengeneza hit nyingi za diamond kuliko producer mwimgine
Tuddy, typing error bossRudd au Tuddy?
Marry you - Diamond ft Neyo.Nitampata wapi ya diamond , mpak kufikia 2017 shedy clever na Tuddy Thomas ndo walikuwa wametengeneza hit nyingi za diamond kuliko producer mwingine
Marry me, ya MavokoHivi zaidi ya my number 1 hit gani nyingine aliwahi tengeneza?
Maproducer wana hali mbaya, Zesti sasa hivi pamoja na hiti zote alizo myengenezea Aslay karibia 14,ila sasa hivi ukimnunulia mzinga mkubwa wa Konyagi ana kunyongea biti. C9 kapiga chini maswala ya uproducer sasa hivi kafungua banda anauza mitumba. Huyo S2kizzy sasa sababu wa moto baada ya miaka miwili anarudi kwenye msoto.S2kizzy anasema hakuna aliyepata mafanikio kama yeye hasa kwenye hii generation kama producer
Wasanii uwa wanalalamika kuibiwa ila wao ni wanyonyaji sana wanapenda dezo dezo. Tena msanii akiwa mkubwa anataka beat bure, aandikiwe bure eti anamtoa mwandikaji.Maproducer wana hali mbaya, Zesti sasa hivi pamoja na hiti zote alizo myengenezea Aslay karibia 14,ila sasa hivi ukimnunulia mzinga mkubwa wa Konyagi ana kunyongea biti. C9 kapiga chini maswala ya uproducer sasa hivi kafungua banda anauza mitumba. Huyo S2kizzy sasa sababu wa moto baada ya miaka miwili anarudi kwenye msoto.
Halafu wasanii kila siku wanalalamika wanaibiwa ila wanasahau wao wana waibia sana maproducer na kuwakatisha tamaa.
Tena hao waandishi ndio daah,yule Baraka Da Prince hits zote kaandikiwa Goodluck ila hajawai kuongea.Matokeo yake ya kukosa shukrani leo nae anatembelea rim.Wasanii uwa wanalalamika kuibiwa ila wao ni wanyonyaji sana wanapenda dezo dezo. Tena msanii akiwa mkubwa anataka beat bure, aandikiwe bure eti anamtoa mwandikaji.
Kwa hits alizoandika ibra nation ilibidi naye awe vizuri