Yuko wapi Pendaeli Omari..?

Yuko wapi Pendaeli Omari..?

Doswe Dossena

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
314
Reaction score
557
Nawasalimu.
Yuko wapi Pendaeli Omari aliyekuwa anafanya kazi ya utangazaji TBC1...
yule jamaa ni hodari wa kuandaa vipind na kutangaza pia, anajua kuipamba taarifa na kumshawishi mtazamaji,
binafsi nilimjua miaka ya 2009.. kupitia kipindi cha kila siku cha jambo Tanzania kilichokuwa kinarushwa na TBC1 kila asubuhi.
Lakini cha ajabu jamaa na uhodari wake amepotea ghafla katika medani ya utangazaji..
Yuko wapi?
 
Tatizo la Taasisi za Kiserikali hawazingatii uwezo wa Mtu.., ila connection uliyonayo ndio ina determine ufanye kazi gani, hivyo Mara nyingi ni ngumu kumaintain Wajuzi, Mwishoe Makanjanja ndo wanapata nafasi na kujinafasi!!!
 
Ni mentor anafanya kazi BBC Media Action na akina Noel Mwakalindile kule....
 
Nawasalimu.
Yuko wapi Pendaeli Omari aliyekuwa anafanya kazi ya utangazaji TBC1...
yule jamaa ni hodari wa kuandaa vipind na kutangaza pia, anajua kuipamba taarifa na kumshawishi mtazamaji,
binafsi nilimjua miaka ya 2009.. kupitia kipindi cha kila siku cha jambo Tanzania kilichokuwa kinarushwa na TBC1 kila asubuhi.
Lakini cha ajabu jamaa na uhodari wake amepotea ghafla katika medani ya utangazaji..
Yuko wapi?
Mentor Bbc
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom