dtj JF-Expert Member Nov 29, 2014 1,332 1,375 Jan 19, 2017 #1 Kama kichwa cha uzi kinavyosema, huyu jamaa simsikii tena E-FM sijui yuko wapi. Mwenye kujua anijuze.
Kama kichwa cha uzi kinavyosema, huyu jamaa simsikii tena E-FM sijui yuko wapi. Mwenye kujua anijuze.
Snipes JF-Expert Member Jul 2, 2013 9,109 16,680 Jan 19, 2017 #2 yupo mara nyingi namsikiaga anatangaza taarifa ya habari ya asubuhi
choupa moting JF-Expert Member Dec 27, 2016 1,508 2,560 Jan 19, 2017 #3 dtj said: Kama kichwa cha uzi kinavyo sema,huyu jamaa simskii tena e-fm sijui yuko wapi. Mwenye kujua anijuze. Click to expand... Mpigie majizo atakua na majib mujarabu kabisa. 0765785620
dtj said: Kama kichwa cha uzi kinavyo sema,huyu jamaa simskii tena e-fm sijui yuko wapi. Mwenye kujua anijuze. Click to expand... Mpigie majizo atakua na majib mujarabu kabisa. 0765785620
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 92,174 111,714 Jan 19, 2017 #4 Piga simu ofisini kwao.