Yuko wapi Nape Nnauye?

Yuko wapi Nape Nnauye?

Kaponzwa na wapambe wake kina ritz, rejao, FF, Mzee nk waliokuwa wanamvimbisha kichwa, ingekuwa zamani kabla ya kikao cha NEC wangejazana hapa kumtetea.
 
Atakuja kusema nini wakati sera ya ccm na dhana ya kujivua gamba imemgeuka. EL aliyetuhumiwa sana na Nape kuwa ni Fisadi sasa yupo kwenye chat. EL anasisitiza mafisadi washughulikiwe!

Mkuu, umenikumbusha kisa kimoja.
Siku moja niliibiwa ,kibaka aliyeniibia nilipomubaini akaanza kukimbia,wakatokea vijana 4 wakaanza kumkimbiza,yule kibaka akaingia ndani ya maji ,wale vijana wakamfuata.

Ajabu ni kwamba si vijana au yule kibaka aliyerudi japo walimkaribia sana kiasi cha kuweza kumkamata.
Hadi wa leo nipo hapa feri toka mwaka juzi nawasubiri warudi na kisimu changu cha mchina.
 
alikuwepo na alikuwa tumbili anayechekelea na kushangilia kichaka kikiungua wakati pa kulala ana , Huyu ndiye Lowasa unayemjua , nafikiri angekuwepo kwenye kikao angemtandika makofi miezi saba ya Uvumi Lowasa fisadi sio mchezo.
 
Duh!! kweli hata mimi nilishasahau kama yupo.Jamaa naona alisifiwa mbio sasa amepitiliza hadi kwao
 
Nape kaficha uso wake..ishu kubwa ni baba yao Lowasa.na bado huyu jamaa atamfanya kitu kibaya sana huyu dogo.
 
Nape amechukizwa na usaliti aliofanyiwa na JK. Kamtuma kufanya kampeni za kufua magamba, alipokaribia kuwin JK kamtelekeza. Akabaki mpeke kama mwanaizaya!!!
 
Ngoma ikivuma mwisho hupasuka-yuko ndani aibu zimemshika aliaibishwa kwenye ule mkutano ulioisha.
 
Sasa hivi yupo dillema maana amegundua CCM haimtaki na ndani ya familia ya Baba yake pia walimtenga kwenye kumbukumbu ya kifo cha Baba yake. Kama mtakumbuka kwenye lile tangazo la kumbukumbu kwenye blog ya issamichuzi jina la Nape Nnauye halikutajwa kama ni sehemu ya watoto wa marehemu.

Tutupie link mkuu!
 
.......sio bure, wala hawakufanya hivyo kwa bahati mbaya, inawezekana kabisa wanafahamu ni mtoto wa nani!
 
........jk mtoto wa mjini bwana! kwani yeye (Nape) haifahamu ile singo maarufu inayokwenda kwa jina la " hatukukutana barabarani"?
Nape amechukizwa na usaliti aliofanyiwa na JK. Kamtuma kufanya kampeni za kufua magamba, alipokaribia kuwin JK kamtelekeza. Akabaki mpeke kama mwanaizaya!!!
 
Atakuja kusema nini wakati sera ya ccm na dhana ya kujivua gamba imemgeuka. EL aliyetuhumiwa sana na Nape kuwa ni Fisadi sasa yupo kwenye chat. EL anasisitiza mafisadi washughulikiwe!

mkuu asante kwa kunichungulia majawabu hilo jibu linamfaa labda kama ana swali la nyongeza uniachie na mimi nimjibu
 
michael-jackson.gif
...Nimeipenda hii sana ha ha ha!
 
Back
Top Bottom