Yuko wapi mzizimkavu?

temoin

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2025
Posts
217
Reaction score
475
Mda mrefu sana sijamuona huyu mzee humu ndani. Alikuwa mtaalamu sana wa mambo ya elimu ya gizani yeye na pacha wake mshana jr, ila kwa sasa sijui yuko wapi. Je kabadili id au naye alipewa lift na ile bombadia ya covid-19.
 
Mambo ya kujifanyia assist haya.
 
Sijui yuko wapi! Alinisaidia sana kusave hela ya kwenda hospital kwa magonjwa madogo madogo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…