Kabla uchaguzi mkuu mwaka 2015 Katibu Mkuu wa CCM Abdrahman Kinana alifanya ziara ya kuzunguka nchi nzima kuona kero za wananchi.
Kuna umuhimu sana kwa Katibu huyo wa CCM kufanya ziara nyingine ili atathimini mwaka mmoja wa serikali ya awamu ya tano madarakani.
Hii itampa hali halisi ya nchi chini ya utawala serikali ya CCM.
Ni kweli Kabisa kazi ya kutathimini mwaka mmoja wa Rais kutoka CCM ingenoga zaidi pale ingefanywa na Katibu Mkuu wa Chama Husika.Kabla uchaguzi mkuu mwaka 2015 Katibu Mkuu wa CCM Abdrahman Kinana alifanya ziara ya kuzunguka nchi nzima kuona kero za wananchi.
Kuna umuhimu sana kwa Katibu huyo wa CCM kufanya ziara nyingine ili atathimini mwaka mmoja wa serikali ya awamu ya tano madarakani.
Hii itampa hali halisi ya nchi chini ya utawala serikali ya CCM.
Hivi ni kweli? Ni jamaa wa kule! Nasikiaga ni muiraq.Mogadishu umeenda ukamkosa?
Inawezekana yako ndiyo pumba.Inabidi tupime IQ's za kila mtanzania maana napitia comments za wadau hapa ni pumba tupu
....Are You thinking what am Thinking!!!Mpemba