Yuko wapi mzee wetu Kinana?

Yuko wapi mzee wetu Kinana?

Kabla uchaguzi mkuu mwaka 2015 Katibu Mkuu wa CCM Abdrahman Kinana alifanya ziara ya kuzunguka nchi nzima kuona kero za wananchi.

Kuna umuhimu sana kwa Katibu huyo wa CCM kufanya ziara nyingine ili atathimini mwaka mmoja wa serikali ya awamu ya tano madarakani.

Hii itampa hali halisi ya nchi chini ya utawala serikali ya CCM.
Yuko mbioni kuachia ngazi .
 
Kinana hauwezi huu mziki na ni vyema akajipumzisha kabla mtumbuaji hajafanya kazi yake!
 
Kweli jamii forum kuna watu wana comments za kijinga sana!inabidi tusajili watu kwa vyeti ndio upewe access ya ku comment!
 
Kabla uchaguzi mkuu mwaka 2015 Katibu Mkuu wa CCM Abdrahman Kinana alifanya ziara ya kuzunguka nchi nzima kuona kero za wananchi.

Kuna umuhimu sana kwa Katibu huyo wa CCM kufanya ziara nyingine ili atathimini mwaka mmoja wa serikali ya awamu ya tano madarakani.

Hii itampa hali halisi ya nchi chini ya utawala serikali ya CCM.
Yupo China. Uliza swali jingine la kimajungu majungu.

W020161014504555610909.jpg

Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Chama Cha kikomunisti cha China (CPC) Ndugu Liu Yunshan, mjini Chongqing, nchini China hivi karibuni. Katika Mazungumzo hayo, Ndugu Kinana aliwawakilisha Makatibu Wakuu kutoka vyama vya Ukombozi Kusini mwa Afrika, ambao alifuatana nao nchini China.
 
Back
Top Bottom