Yuko wapi mzee wetu Kinana?

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,074
Kabla uchaguzi mkuu mwaka 2015 Katibu Mkuu wa CCM Abdrahman Kinana alifanya ziara ya kuzunguka nchi nzima kuona kero za wananchi.

Kuna umuhimu sana kwa Katibu huyo wa CCM kufanya ziara nyingine ili atathimini mwaka mmoja wa serikali ya awamu ya tano madarakani.

Hii itampa hali halisi ya nchi chini ya utawala serikali ya CCM.
 
Kapumzika mzee wa watu anaisoma namba tartibu, hanaga makuu wala kelele!!
 
Usiogope, yeye sio miongoni mwa wale waliokutwa na 11 chumbani. Wala zile pembe 50 hahusiki. Tulia tu, yupo bizze kinoma kutengeneza sera za chama dola
 
Kabla uchaguzi mkuu mwaka 2015 Katibu Mkuu wa CCM Abdrahman Kinana alifanya ziara ya kuzunguka nchi nzima kuona kero za wananchi.

Kuna umuhimu sana kwa Katibu huyo wa CCM kufanya ziara nyingine ili atathimini mwaka mmoja wa serikali ya awamu ya tano madarakani.

Hii itampa hali halisi ya nchi chini ya utawala serikali ya CCM.
Ni kweli Kabisa kazi ya kutathimini mwaka mmoja wa Rais kutoka CCM ingenoga zaidi pale ingefanywa na Katibu Mkuu wa Chama Husika.
Kinana inapaswa atoke mafichoni kama Dr. Mashinji.
 
Tembo wamekua adimu sana,
Kinana aliandika barua ya kujiuzulu na hakutaka tena hiyo kazi, magufuli akafanya makusudi kuisoma barua yake jukwaani na kumjibu hapo-hapo jukwaani kuwa aendelee na kazi akijua Kinana hawezi kukataa.
Kishingo upande Kinana akakubali hakua na namna ila sasa kaweka mgomo baridi.
 
je waliwafanyakazi wa chama wameshalipwa mishahara yao maana aliagizwa awalipe
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom