Haya ni masharti ya kiganga kama kuna unalojua wewe sema ,hutaki watakuja wengine tu kutupa somo juu ya Stan hii ndio JfKabla sijakudadavulia wewe binafsi umefikia wapi katika kufuatia kuhusu huyu mwandishi yaani hatua ambazo umeshachukua mpaka sasa.
Stan Katabalo ndie aliefichua uozo wa Loliondo kuuzwa kwa mkataba wa miaka mingi alichambua ule mkataba vizuri sana baada Wananchi kuelewa na kuanza kulipigia kekeke kilichotokea mbele ni sikumbuki..ni mmoja kati ya Waandishi bora waliowahi kutokea Tanzania...
Ahsante sana ndugu.!Stan Katabalo ndie aliefichua uozo wa Loliondo kuuzwa kwa mkataba wa miaka mingi alichambua ule mkataba vizuri sana baada Wananchi kuelewa na kuanza kulipigia kekeke kilichotokea mbele ni sikumbuki..ni mmoja kati ya Waandishi bora waliowahi kutokea Tanzania...
ama yuko wapi mtangazaji ezekiel malongoWadau,
Nikiwa bado mdogo miaka ya Tisini kulikuwa na gazeti linaitwa Motomoto! Na jingine likiitwa Mfanyakazi. Kwenye kurasa za magazeti haya kulikuwa makala za mwandishi aliyekuwa akiitwa. Stanley Katabalo.
Je, kuna mtu ana habari za kutosha kuhusu mwandishi huyu?
Nawasilisha.
kumbe unafahamu alipo ....Haya ni masharti ya kiganga kama kuna unalojua wewe sema ,hutaki watakuja wengine tu kutupa somo juu ya Stan hii ndio Jf
Nilicho sikia aliuwawa kwa sababu ya saga ya Loliondo
Yuko wapi BenWadau,
Nikiwa bado mdogo miaka ya Tisini kulikuwa na gazeti linaitwa Motomoto! Na jingine likiitwa Mfanyakazi. Kwenye kurasa za magazeti haya kulikuwa makala za mwandishi aliyekuwa akiitwa. Stanley Katabalo.
Je, kuna mtu ana habari za kutosha kuhusu mwandishi huyu?
Nawasilisha.
Mkuu isanga nimeona uzi mwingine humu JF ukimhusu daah, anyway Mungu anajua Mengi zaidi ninaleta wazo kwa watu wa uandishi wa kiuchunguzi kuanzisha Tuzo ya Stanley Katabaro.!! Iwe ni tuzo ya heshima kwa mwandishi bora wa habari za kiuchunguzi...Stan Katabalo ndie aliefichua uozo wa Loliondo kuuzwa kwa mkataba wa miaka mingi alichambua ule mkataba vizuri sana baada Wananchi kuelewa na kuanza kulipigia kekeke kilichotokea mbele ni sikumbuki..ni mmoja kati ya Waandishi bora waliowahi kutokea Tanzania...
Aulizwe mzee wa kuruhusuWadau,
Nikiwa bado mdogo miaka ya Tisini kulikuwa na gazeti linaitwa Motomoto! Na jingine likiitwa Mfanyakazi. Kwenye kurasa za magazeti haya kulikuwa makala za mwandishi aliyekuwa akiitwa. Stanley Katabalo.
Je, kuna mtu ana habari za kutosha kuhusu mwandishi huyu?
Nawasilisha.
Hafahamu alipo ila alisikia, alisikia inawezekana kweli au si kweli, alisikia.kumbe unafahamu alipo ....
Daah, unyama unyama tuStan Katabalo na John Rutayisingwa walikufa enzi za scandal ya Loliondo.