Yuko wapi mwanaCCM Ismail Aden Rage?

Yuko wapi mwanaCCM Ismail Aden Rage?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,422
Reaction score
271,907
Huyu ni miongoni mwa wanaccm waliofanya siasa za hovyo zilizojaa kejeli na vitisho , kule Igunga Tabora aliwahi kupanda kwenye jukwaa la kampeni akiwa Bastola kiunoni kwa lengo la kutisha wapiga kura .

Alikuwa miongoni mwa wabunge duni wasio na mchango wowote bungeni kwa kipindi cha miaka mitano na aliongoza kwa kugonga meza hata kwa hoja za hovyo , pia alishiriki shambulio lililokusudia mauaji ya kada wa chadema mkoani dodoma .

2183704_IMG_1183.jpg

Aliwahi kufungwa jela kwa wizi wa vifaa vya soka , Ikiwemo mipira ya ADIDAS iliyokadiriwa kufikia 50 akiwa Katibu Mkuu wa FAT na baadaye kuachiwa huru kwa msamaha wa Rais.

Nauliza alipo maana sijamuona kwenye harakati za sasa za ccm , chama alichokiabudu kuliko hata Mungu wake .
 
achana na mnyamwezi wetu..bunge ni klabu tu ya kuwekea wanyonge sheria ngumu na kuhalalisha Sera zisizo tija
 
Kwa kuwa umeulizia kujua yuko wapi acha nikusaidie kidogo!
Ametoka Macca(Wiki chache zilizopita)alikwenda Hija yeye na familia yake! Ana kampuni kadhaa na ni shareholder wa kampuni mbili kubwa za Kimataifa moja ina Makao Makuu SA. Ana tenda nono ya mradi mkubwa sana ! Kwa tunao fahamu muda mrefu sasa hali yake ya uchumi ni zaidi ya Mara kumi ya alivyofahamika! He is Good Gari zake zimezagaa Tabora shughuli za kituo cha Radio na Cable TV kawaachia vijana wake kusimamia
 
Kwa kuwa umeulizia kujua yuko wapi acha nikusaidie kidogo!
Ametoka Macca(Wiki chache zilizopita)alikwenda Hija yeye na familia yakAlie! Ana kampuni kadhaa na ni shareholder wa kampuni mbili kubwa za Kimataifa moja ina Makao Makuu SA. Ana tenda nono ya mradi mkubwa sana ! Kwa tunao fahamu muda mrefu sasa hali yake ya uchumi ni zaidi ya Mara kumi ya alivyofahamika! He is Good Gari zake zimezagaa Tabora shughuli za kituo cha Radio na Cable TV kawaachia vijana wake kusimamia
Aliwahi pia kuwatukana wanasimba pale Police Officers Mess na akadai hana njaa , unaonekana unamjua sana , vipi bado anaabudu ccm badala ya Mungu aliyemuumba ?
 
Huyu ni miongoni mwa wanaccm waliofanya siasa za hovyo zilizojaa kejeli na vitisho , kule Igunga Tabora aliwahi kupanda kwenye jukwaa la kampeni akiwa Bastola kiunoni kwa lengo la kutisha wapiga kura .

Alikuwa miongoni mwa wabunge duni wasio na mchango wowote bungeni kwa kipindi cha miaka mitano na aliongoza kwa kugonga meza hata kwa hoja za hovyo , pia alishiriki shambulio lililokusudia mauaji ya kada wa chadema mkoani dodoma .

Aliwahi kufungwa jela kwa wizi wa vifaa vya soka , Ikiwemo mipira ya ADIDAS iliyokadiriwa kufikia 50 akiwa Katibu Mkuu wa FAT na baadaye kuachiwa huru kwa msamaha wa Rais.

Nauliza alipo maana sijamuona kwenye harakati za sasa za ccm , chama alichokiabudu kuliko hata Mungu wake .
Vitisho kibao
images.jpeg
 
Sisiem walifanya kumpangusa kama tunavyo tumia toileti pepa kwenye SHITHOLE.....
 
Back
Top Bottom