Miaka ya 1999 nilipata bahati ya kufundishwa tuition na Mwalimu Ng'wavi pale shule ya sekondari Forodhani Dar es salaam wakati huo nikiwa kidato cha sita Tambaza.Kuna anayefahamu wapi aliko?
Acha uwongo wewe huyu jamaa sio mwalimu tena ana kazi nzuri hadi kaota nunduYupo shule inaitwa Ikuwo wilaya ya Makete na ndiye mkuu wa shule hiyo