Yuko wapi Mwalimu Ng'wavi?

Kwezere

Senior Member
Jan 29, 2014
162
81
Miaka ya 1999 nilipata bahati ya kufundishwa tuition na Mwalimu Ng'wavi pale shule ya sekondari Forodhani Dar es salaam wakati huo nikiwa kidato cha sita Tambaza.Kuna anayefahamu wapi aliko?
 
Labda tufaham ni nini kimekufanya umkumbuke na kumtafuta huyo Mwl. Ukijipambanua utapunguza mashaka ya wanaomfaham kukueleza alipo au hata yeye mwenyewe kujitokeza.
 
Miaka ya 1999 nilipata bahati ya kufundishwa tuition na Mwalimu Ng'wavi pale shule ya sekondari Forodhani Dar es salaam wakati huo nikiwa kidato cha sita Tambaza.Kuna anayefahamu wapi aliko?

Unamzungumzia mwalimu Angumbuike lameck Ng'wavi au?
 
Yawezekana majina yanafanana hasa la mwisho ila kuna huyo mtu ni mkuu wa shule hiyo niliyotaja Ngw'avi
 
Miaka ya 1999 nilipata bahati ya kufundishwa tuition na Mwalimu Ng'wavi pale shule ya sekondari Forodhani Dar es salaam wakati huo nikiwa kidato cha sita Tambaza.Kuna anayefahamu wapi aliko?

Angumbuike Lameki Ng’wavi yupo ofisi ya bunge Dodoma kwa sasa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom