mmmmh wako wengi wenye hizo id mwenyewe nimemmiss
Mii nlikumiss wewe, afadhali umejitokeza! Mzima wewe
Sasa baada ya hapa mengine kamalizie pm
Nimeshamfata, ndio namsubiria
Usisahau kunipa mrejesho
Yani me kuna kipindi nakuwepo sanaaa na kuna kipindi naingia kwa kuibia. But sipoteagi mazimaHata wewe kuna kipindi ulipotea
Yani me kuna kipindi nakuwepo sanaaa na kuna kipindi naingia kwa kuibia. But sipoteagi mazima
Aaah nimemkumbuka heaven on desert. Sijui yuko wapi siku hizi. Kipindi hicho jf celebrity imenoga balaaaID yako ilitaka kufanana na ya Kifesi....mpiga picha wa baba Lattih...
Uuuh za siku nzuri sana swahiba, za kupotea? Aisee urudi tu jamani, I missed you kwa kweliNimerudi rasmi Heaven Sent
Za siku kibao?
Uuuh za siku nzuri sana swahiba, za kupotea? Aisee urudi tu jamani, I missed you kwa kweli
Basi karibu tenanzuri aisee, miss u too, nipo sasa mzima mzima
Basi karibu tena