MAGARI7 JF-Expert Member Joined Mar 5, 2016 Posts 2,401 Reaction score 1,308 Jun 15, 2017 #21 Ndio nani?
Ibada ya kwanza JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 3,282 Reaction score 1,810 Jun 15, 2017 #22 Makinikia hayajawahi muacha mtu salama
Al-Watan JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 11,891 Reaction score 14,596 Jun 15, 2017 #23 Truth Matters said: Wapendwa, Ni muda sasa Mtemi kiongozi wa ACA Tanzania hajasikika jukwaani! Mwenye taarifa zake tafadhali! Click to expand... Ameenda kutoa posa ya kumuoa Malia Obama. Hamjaona habari?
Truth Matters said: Wapendwa, Ni muda sasa Mtemi kiongozi wa ACA Tanzania hajasikika jukwaani! Mwenye taarifa zake tafadhali! Click to expand... Ameenda kutoa posa ya kumuoa Malia Obama. Hamjaona habari?
T Truth Matters JF-Expert Member Joined Apr 12, 2013 Posts 2,633 Reaction score 5,606 Jun 15, 2017 Thread starter #24 Anadai ripoti ya makinikia wamenakiri kwenye kitabu chake,! kumbe hajapona!
TangataUnyakeWasu JF-Expert Member Joined Dec 18, 2016 Posts 1,268 Reaction score 1,611 Jun 15, 2017 #25 Tumuulize Bashite
U ukomola Member Joined Mar 3, 2017 Posts 13 Reaction score 5 Jun 15, 2017 #27 Atakuwa analia kwenye vichochoro vyenye giza huko Shinyanga kwa uchungu wa kuibiwa makinikia!Pole sana mtemi!
Atakuwa analia kwenye vichochoro vyenye giza huko Shinyanga kwa uchungu wa kuibiwa makinikia!Pole sana mtemi!