Yuko wapi Mtemi Deo Kisandu

Truth Matters

JF-Expert Member
Apr 12, 2013
2,007
3,795
Wapendwa,
Ni muda sasa Mtemi kiongozi wa ACA Tanzania hajasikika jukwaani!
Mwenye taarifa zake tafadhali!
 
Mie mwenyewe nimeshamuulizia lakini sijampata!
Au labda hali yake ilizidi kuwa mbaya apelekwa hospitali husika ya kulee Dodoma!!
Yupo facebook kama huko napo hayupo basi atakuwa butimba gerezani mwezi 3 niliwahi kumuona kule magereza anapumzika
 
Pamoja na bwana technically nae kapotelea wapi moja kati ya watu ninaowakubali JF tangu nijiunge sijawahi juta kusoma nyuzi zake humu.
 
Atakuwa hospitali na madaktari wamemnyanganya simu kama sehemu ya matibabu
 
Na atoe maoni kuhusu makanikia Taifa lisonge mbele
RIPOTI YA KUSADIKIKA YA MADINI YA Prof. NEHEMIA ELIACHIM na MAZINGAOMBWE YA MAGUFULI KWA ACACIA.

ACACIA is Right but our Country is Wrong in judgement on Mineral activities in Tanzania.
ACACIA haina makosa bali Taifa letu halijui linacho kifanya:

1.Rais magufuli tambua Prof. Nehemia na Team yake sio wazalendo, bali wamekopi kwenye kitabu changu cha “UTANI WA SERIKALI NA WANANCHI, Kwa Ukombozi wa Pili wa Taifa Letu” Ukurasa wa 16-17. Ripiti yao yote imetoka hapo.

2.Ripoti imejaa maneno ya kusikia.

3.Ripoti imejaa fursa za kutaka kuteuliwa Uwaziri na nyazifa mbalimbali.

4.Taifa linapaswa kuisoma upya Sera ya uwekezaji Tanzania na kujitathimini kama wako sahihi kwa ACACIA.

5. Taifa liangalie Sheria za madini hapa nchini zinasema nini kuhusu wawaekezaji na tujichunguze tulipojikwaa kwa ACACIA kuliko kukurupuka.

6. Kama kweli Taifa liko salama ichunguze kwanza mikataba ilikuwa ya aina gani nasio kama mlivyokurupuka. Kila jambo Duniani liko kisheria hata kama lilikosewa.

7. Tujikumbushe mwaka 2007 ripoti ya Zitto Kabwe ya mgodi wa Buzwagi na hatima ya yaleyale yaku copy na ku paste.

8.Uchunguzi huu umefanywa na watu walewale wa miaka ileile walio zoea yaleyale na mazingaombwe uchwara.

9. Alichokifanya Gadafi ilikuwa ni Uzalendo wa kidikiteka lakini anachokifanya Magufuli mimi hata sijui…

10. Hakuna jambo lolote kwa wawekezaji ambalo halikufanyika bila kushirikisha wanasheria ndani ya nchi, kila hatua ilipitiwa na wanasheria wa ndani na wa nje. ACACIA inaweza kuiumbua Tanzania.

11. Viongozi walioingia mikataba hawana makosa bali mfumo umepitwa na wakati, ilikuwa ni Ubepari sasa ni Globalisation.

12. Kazi ya TEITI ni kutoa mafunzo juu ya maswala ya madini, sasa ikiwa TEITI ni asasi ya Serikali mbona mnakurupuka bila kufikiri….. mnakumbuka mwaka 2013 nilisambaza Proposal mashirika yote ya kiserikali nayasiyo ya kiserikali nikiomba kufanya makongamano ya kuhusu madini na mkazuia kupitia waziri mmoja aliyekuwa karibu na Rais aliyepita?

13. Makampuni yote mgodini yamesajiriwa BRELA isipo kuwa BRELA ya Tanzania ni wahuni tu na wababaishaji wanaojua kutoa vyeti vya uongo. Ikumbukwe pia kuwa kila baada ya miaka 5 kampuni ina ruhusiwa kubadili jina la kampuni......samahani ACACIA sio ile BARRICK.

DEOGRATIUS NALIMI KISANDU
PIO wa AFRIKA.
12 juni 2017
 
Kumbe yupo, kabadili kiwanja tu,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom