Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,890
- 14,601
Mbona Muhammad Ali alizaliwa Cassius Clay, akabadilijina watu wakamkubalikama Muhammad Ali ?Jina lake halisi anaitwa Jumanne kabwenga !
Hilo Jimmy kabwe sijui mnalitoa wapi ??
Mtu kaamua kujiita Jimmy Kabwe wewe unataka kumpangia jina lake mwenyewe?