Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,777
- 28,231
- Thread starter
- #21
Em nipasulie kidoogo hivyo vituko vyake mkuu 😂😂Inategemea ... alikuwa na ushawishi upi katika jamii ... ila jamaa ni born talent ila hajitambui ... tena majuzi tu nilikuwa na jamaa yangu 1 hivi tukawa tuna kumbushiana kuhusu vituko vyake
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu yule dem kaingiza vocal mwishoni kidogo kwenye hiyo ngoma anaitwa nani??